Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napigiwa simu na mtu wa karibu na RA anasema, "Hakuna tena wa kumzuia Bilal kama walivyomshindwa JK 2005, tayari anasubiri kupitishwa kuwa mgombea wa CCM Zanzibar"
Naona wabara wanakamilisha kuweka 'Gavana' wao Shein ili waendelee kuinyonga Znz vizuri.
Namalizia kusema : Mafuta si suala suala la Muungano.
There are currently 261 users browsing this thread
Wote hawa wanafuatilia uteuzi wa wazenji?
Mimi yeyote nasema atakayechaguliwa Zenji sawa tu. Kwanza hawana usemi kwenye utawala hao watawala wa Zenji. Mwenye mamlaka ya mwisho ni JK.
Natamani kusikia mpambano wa JK na Lipumba na mgombea wa Chadema.
Bado nina hamu ya kuona mdahalo kati ya wagombea wa 'sisi m' CUF na CHADEMA katika kinyang'anyiro cha urais URT
MF,
JK akubali mdahalo? i say NO, yes NO. Labda uendeshwe na TIDO. Natabiri ataanguka sana safari hii.
Let us ask ourselves..Hivi ni wangapi wetu tunaoamini kwamba CCM inaweza kuachia madaraka Znz?? Tuwe wakweli ktk kujibu hili.
....Not in this life. Maybe in another life.
Possible Vice-Presidents:
Salim Ahmed Salim?
Bilal?
Nahodha?
I second with u sir,
Ktk kuuliza swali nilikuwa najaribu kuwaelewa watu wanaoshangilia kwamba CUF imepata mteremko (?).
CCM ikishindwa Znz kutakuwa na very big reshuffle and overhaul kwene Muungano, na kuondoa elements za uswahili. Hivo hapa CCM itafanya kila sarakasi to maintain status quo, haitokubali abadan asilani 'kushindwa'.