Uchaguzi 2020 Dr. Shein miaka 10 iliyopita, nitaifanya Zanzibar iwe kama Dubai. Mwaka huu Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya

Hivi nyinyi mnafikiri Magufuri ni mtu ona tu chama chake kushindwa kukiongoza anasaidiwa na maafisa vipenyo tu , Chama chake chenyewe hawamtski Ila hawawezi kuonyesha hadharani pamoja na kuwa wanasimamia na kupiga kampeni wanaogopa tu asiwakolimbe .
Bila kusahau Maafisa vificho.... 😂😂
 
Hahahaaa......... Tukianza kuwafokea wataacha huu uhuni wa kutufanga ss wajinga.....
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]walichowaweza ccm watanzania ni kuwanyima elimu ili wawatawale vizuri
Wanatoa elimu ya kilaghai...... Kata hakuna waalimu hakuna maabara hakuna vifaa vya kufundishia...... Hakuna mtoto wa kiongozi wa ccm anasoma shule ya kata
 
Hahahaaa......... Tukianza kuwafokea wataacha huu uhuni wa kutufanga ss wajinga.....
Ila uku kwetu CCM inawajinga wengi we acha tu. Unakuta mtu kijijini kwao hamna maji lakini huna la kumwambia kwa CCM, tena wakijengewa maskani na kuwekewa game la bao ohoooo maendeleo kwao.
 
Daah asante kwa ufafanuzi mkuu,maana nilikua najua zenji ni full kujiachia tu.
Watu wanafanya kimagendo tu mkuu. Na wakikumata lazima wakutese kwanza. japo wazuia chombo chako kama wiki ivi 😀 wabishi wanafanya ivo ivo.

Halafu ubaya wa Zanzibar ni kuwa ndogo rahisi sana kujulikana na watu, kuna mara moja nilisikia kuna vijana walikwenda wakajiachia mtaa mmoja ivi wakaripotiwa. Askari hawakupata tabu ya kuwatafuta waliopiga drift, waliwafuata wale wanaojulikana wapigaji drift maarufu wakakamatwa wawaoneshe wahalifu. 😀

Yaani kama hapo Bongo, atokezee mtu apige drift halafu polisi waende GTPTZ wawakamate wawaoneshe wahusika ndicho kilichotokea uku.
 
Ila uku kwetu CCM inawajinga wengi we acha tu. Unakuta mtu kijijini kwao hamna maji lakini huna la kumwambia kwa CCM, tena wakijengewa maskani na kuwekewa game la bao ohoooo maendeleo kwao.
Hahahaaa....... Wanapewa na ulojo basi🤣🤣
Nacheka km mazuri vile
 
Duuu... Hii htr sn mkuu
 
Hahahaaa....... Wanapewa na ulojo basi🤣🤣
Nacheka km mazuri vile
Unaambiwa ngome ya CCM Zanzibar iko Makunduchi. Humo serikali na kwenye vikosi wamejazana. Sasa nenda ukaione Makunduchi ilivyo.....Hutotamani ata kurudi tena labda ifike mwaka kogwa
 
Nadhani ulipaswa kuwauliza Hali ipoje hapo Dubai.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…