Uchaguzi 2020 Dr. Shein miaka 10 iliyopita, nitaifanya Zanzibar iwe kama Dubai. Mwaka huu Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya

Uchaguzi 2020 Dr. Shein miaka 10 iliyopita, nitaifanya Zanzibar iwe kama Dubai. Mwaka huu Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya

Hivi nyinyi mnafikiri Magufuri ni mtu ona tu chama chake kushindwa kukiongoza anasaidiwa na maafisa vipenyo tu , Chama chake chenyewe hawamtski Ila hawawezi kuonyesha hadharani pamoja na kuwa wanasimamia na kupiga kampeni wanaogopa tu asiwakolimbe .
Bila kusahau Maafisa vificho.... 😂😂
 
Hujamsikia Balozi Seif Ali Idi ivi karibuni alipokwenda kutembelea ile michenzani mall na kisonge maskan? kwa majengo yale mawili tayari Zanzibar imekuwa Dubai kwa mujibu wake na amesisitiza kuwa wafanyabiashara badala ya kwenda Dubai sasa watakuwa wanaenda michenzani kununua mizigo! Hio ndio Zanzibar chini ya Ma CCM bana, ata kuweka taa barabarani basi ni jambo la sherehe. 😀
Hahahaaa......... Tukianza kuwafokea wataacha huu uhuni wa kutufanga ss wajinga.....
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]walichowaweza ccm watanzania ni kuwanyima elimu ili wawatawale vizuri
Wanatoa elimu ya kilaghai...... Kata hakuna waalimu hakuna maabara hakuna vifaa vya kufundishia...... Hakuna mtoto wa kiongozi wa ccm anasoma shule ya kata
 
Hahahaaa......... Tukianza kuwafokea wataacha huu uhuni wa kutufanga ss wajinga.....
Ila uku kwetu CCM inawajinga wengi we acha tu. Unakuta mtu kijijini kwao hamna maji lakini huna la kumwambia kwa CCM, tena wakijengewa maskani na kuwekewa game la bao ohoooo maendeleo kwao.
 
Daah asante kwa ufafanuzi mkuu,maana nilikua najua zenji ni full kujiachia tu.
Watu wanafanya kimagendo tu mkuu. Na wakikumata lazima wakutese kwanza. japo wazuia chombo chako kama wiki ivi 😀 wabishi wanafanya ivo ivo.

Halafu ubaya wa Zanzibar ni kuwa ndogo rahisi sana kujulikana na watu, kuna mara moja nilisikia kuna vijana walikwenda wakajiachia mtaa mmoja ivi wakaripotiwa. Askari hawakupata tabu ya kuwatafuta waliopiga drift, waliwafuata wale wanaojulikana wapigaji drift maarufu wakakamatwa wawaoneshe wahalifu. 😀

Yaani kama hapo Bongo, atokezee mtu apige drift halafu polisi waende GTPTZ wawakamate wawaoneshe wahusika ndicho kilichotokea uku.
 
Ila uku kwetu CCM inawajinga wengi we acha tu. Unakuta mtu kijijini kwao hamna maji lakini huna la kumwambia kwa CCM, tena wakijengewa maskani na kuwekewa game la bao ohoooo maendeleo kwao.
Hahahaaa....... Wanapewa na ulojo basi🤣🤣
Nacheka km mazuri vile
 
Watu wanafanya kimagendo tu mkuu. Na wakikumata lazima wakutese kwanza. japo wazuia chombo chako kama wiki ivi 😀 wabishi wanafanya ivo ivo.

Halafu ubaya wa Zanzibar ni kuwa ndogo rahisi sana kujulikana na watu, kuna mara moja nilisikia kuna vijana walikwenda wakajiachia mtaa mmoja ivi wakaripotiwa. Askari hawakupata tabu ya kuwatafuta waliopiga drift, waliwafuata wale wanaojulikana wapigaji drift maarufu wakakamatwa wawaoneshe wahalifu. 😀

Yaani kama hapo Bongo, atokezee mtu apige drift halafu polisi waende GTPTZ wawakamate wawaoneshe wahusika ndicho kilichotokea uku.
Duuu... Hii htr sn mkuu
 
Hahahaaa....... Wanapewa na ulojo basi🤣🤣
Nacheka km mazuri vile
Unaambiwa ngome ya CCM Zanzibar iko Makunduchi. Humo serikali na kwenye vikosi wamejazana. Sasa nenda ukaione Makunduchi ilivyo.....Hutotamani ata kurudi tena labda ifike mwaka kogwa
 
Dr Shein alitoa hii ahadi miaka 10 iliyopita..
Sasa mimi nawauliza wa Zanzibar, Je hali ikoje hapo Zanzibar?[emoji1787][emoji1787]

Baada ya kumsaidia Shein kubadilisha Zanzibar, Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya....

Jamani[emoji848][emoji848]View attachment 1565787
Nadhani ulipaswa kuwauliza Hali ipoje hapo Dubai.
 
Mimi so mshabiki wa Shein wala sio mfuasi wa CCM. Ila chini ya Utawala wa Dk Shein mambo mengi yamefanyika kama haha
1. Ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua hivyo karibuni mafuriko Znz yatakua historia.
2. Ujenzi wa miundombinu ya maji safi katika mji wa Zanzibar pamoja na ujenzi wa matank makubwa ya kuhifadhia maji.
3. Ujenzi wa majengo ya kisasa ya makaazi pamoja na kuanzishwa miji mipya.
4. Ujenzi wa shopping malls na ukarabati wa majengo ya zamani.
5. Ujenzi wa ofisi za kisasa
6. Ujenzi wa shule za kisasa
7. Ujenzi wa Barbara
8. Uwekaji taa za barabarani mjini Kate.
9. Uboreshwaji huduma za Afya.
10. Kuheshimu haki za binaadamu.

Mwisho namuomba do.Shein awaachie huru masheikh wa Uamsho warudi katika familia zao.
[/QUTE]
11. Amejenga lile Daraja toka Zanzibar mpaka Dar sasa ajali za boti baharini imebaki kuwa historia hata aliyenunua madege na kujenga uwanja kwake ambaye hapendi kusafiri kwa anga sasa msafara wake wa magari 100 itafika Zanzibar kushiriki shughuli za kitaifa. Mashekhe wabakibaki waliko.
 
Back
Top Bottom