Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
- Thread starter
- #41
Bila kusahau Maafisa vificho.... 😂😂Hivi nyinyi mnafikiri Magufuri ni mtu ona tu chama chake kushindwa kukiongoza anasaidiwa na maafisa vipenyo tu , Chama chake chenyewe hawamtski Ila hawawezi kuonyesha hadharani pamoja na kuwa wanasimamia na kupiga kampeni wanaogopa tu asiwakolimbe .