mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
trusted dr. sheinNi kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba wananchi ndio wataamua ni muungano wa aina gani wanataka.
Ni kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba wananchi ndio wataamua ni muungano wa aina gani wanataka.
Nampenda huyu mzee kwa vile kauli zake zimekosa unafiki na yeye hutumia kichwa kufikiri

Watamfanya kama JUMBE shauri yake.

Vp kuhusu ile kauli kuwa ''muungano utalindwa kwa nguvu zote''
ila kama kweli shein amesema haya manake bado sijaamini basi hapana budi ila kumsifia kwa hili hata kama yeye ni mwanaccm na sisi ni wapinzani mzee wetu ameongea point.
Ni kweli kabisa kuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho na sio dola.
HONGERA KWA HILI.
ingelikuwa wanasikiliza nini wanataka wananchi hata yeye leo asingekuwa na hiyo nafasi.