Dr shein muungano wataamua wananchi wenyewe

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
564
Reaction score
112
Ni kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba wananchi ndio wataamua ni muungano wa aina gani wanataka.
 
trusted dr. shein
 
Nampenda huyu mzee kwa vile kauli zake zimekosa unafiki na yeye hutumia kichwa kufikiri
 
Kama kauli yake sio ya kinafiki basi ashinikize kuitishwa kwa kura ya maoni kuhusu muungano, au ana maana wananchi wataamua kupitia kwenye nini??
 
Vp kuhusu ile kauli kuwa ''muungano utalindwa kwa nguvu zote''
ila kama kweli shein amesema haya manake bado sijaamini basi hapana budi ila kumsifia kwa hili hata kama yeye ni mwanaccm na sisi ni wapinzani mzee wetu ameongea point.
Ni kweli kabisa kuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho na sio dola.
HONGERA KWA HILI.
 
Ni kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba wananchi ndio wataamua ni muungano wa aina gani wanataka.

Kwani yeye hajapima upepo mpaka sasa na kugundua hakuna anaeutaka muungano na umuhimu wake haupo na hauonekani!
 
Ni kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba wananchi ndio wataamua ni muungano wa aina gani wanataka.

Wazanzibar hawautaki muumngano, Shein mbona kijaaa umemvisha majani si atakuwa kituko zaidi!
 
"Nampenda huyu mzee kwa vile kauli zake zimekosa unafiki na yeye hutumia kichwa kufikiri"

Mbona sikuelewi!! Hivi hii inahitaji kufikiri? Alitakiwa aseme..Muungano wataamua Wazanzibari tu. Kuendelea kubebwa kwa mbeleko au kujaribu maji kama "Kupwa au Jaa".
 
Mnafiki Huyu mkubwa sana maana alimalizia kwa kusema msimamo wa Chama chake Yaani CCM ni Serikali mbili. Kwahivyo, wana CCM Waende kwenye mabaraza ya Katiba waseme wanataka mfumo Huu uendelee
 
Nimekuwa na imani naye sana huyo mzee Sheni,wasiwasi wangu ni wale waliomzunguka ndani ya Chama!!
 
Ni kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba wananchi ndio wataamua ni muungano wa aina gani wanataka.

Ingelikuwa wanasikiliza nini wanataka wananchi hata yeye leo asingekuwa na hiyo nafasi.
 
wewe kweli matawi,,huyu ni miongoni mwa waongozao ki pumba alosema hayajaandikwa humu ungesikia usingmsifu amesema hawezi kukiuka viongozi wenzie akina kikwete na atattetea sera ya chama serikali 2.
 
wamemnukuu vibaya, kasema anatetea sera za chama serikali mbili na hatowasaliti viongozi wenzake walomuweka akimaanisha kikwete, mkapa na mwinyi.
Vp kuhusu ile kauli kuwa ''muungano utalindwa kwa nguvu zote''
ila kama kweli shein amesema haya manake bado sijaamini basi hapana budi ila kumsifia kwa hili hata kama yeye ni mwanaccm na sisi ni wapinzani mzee wetu ameongea point.
Ni kweli kabisa kuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho na sio dola.
HONGERA KWA HILI.
 
Huyu mzee kichwa sana.....''' Wananchi ndio wataaamua'''' na wameshaamua wanataka serikali tatu..........................Ref: Warioba report!
 
Take five Bro Dr Shein ,we demand nothing short of mamlaka kamili.
 
Back
Top Bottom