mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Ni kauli yake Dr Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano uliofanyika jana Kibanda maiti akiongea na wanachama pamoja na wapenzi wa chama hicho CCM kwamba wananchi ndio wataamua ni muungano wa aina gani wanataka.