johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Ukiwa pale Ununio kijijini taa zikiwashwa usiku Zanzibar unaziona bwashee!Duuh flight time from JNIA to Zanzibar is almost 25 minutes... Sasa iweje hiyo surface distance Ununio to Zanzibar iwe 20 km tu??
nafikiri ni 36km,hivi!hata tunnel inawwzekana tuMchina hajawahi kushindwa kitu.
Halafu hizo km 80 unazihesabu kuanzia wapi?
Mkuu, hawa vijana wa chadema (BAVICHA) ni wa kuonewa huruma tu.Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa daraja kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa?
Nenda uone pale.unguja bara bara zote za rami zimejenga wan Karume zimetoboka kote hadi bara bara ya ikulu kwenda uwamja wa ndege ni aibu. hivi waafrika watakuwa wajinga mpaka lini anakua na stori za anunuasi eti atajenga daraja.Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa daraja kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa? Pumbavu!
Hahahaaaa hopeles comment. kaangalie lile daraja la Cocobeach to ocean road linavyowatoa jasho maccmMkuu, hawa vijana wa chadema (BAVICHA) ni wa kuonewa huruma tu.
Hapa wanasema haiwezekani Tanzania kujenga daraja la juu kuunganisha bara na visiwani, Daraja likijengwa na kukamilika watakuja na hoja nyingine za kipuuzi!
Daraja linakuja mtaanza kupanda daladala Zanzibar to Dsm
Pythagoras mbona umeandika nini? Si ungeacha kuandika ili usijiabishe? Yaani kwakuwa barabara za Unguja sio nzuri basi haiwezekani kujenga daraja? Muonee huruma babaako kama alikupeleka shule!!!Nenda uone pale.unguja bara bara zote za rami zimejenga wan Karume zimetoboka kote hadi bara bara ya ikulu kwenda uwamja wa ndege ni aibu. hivi waafrika watakuwa wajinga mpaka lini anakua na stori za anunuasi eti atajenga daraja.
Hahahahaaa ni wapumbavu tu watakao.kubaliana na hili.
Kutoka lumumba hadi chato km ngapi??Kutoka Ununio hadi Unguja ni km 20 tu!
Kuziona hizo taa usiku doesn't really mean kuwa Stonetown au jambiani ni karibu kiivyoo!Ukiwa pale Ununio kijijini taa zikiwashwa usiku Zanzibar unaziona bwashee!
Sijui haya yamekujaje hapa ?December 13, 2019
Sera ya Serikali kudhibiti watu yapata changamoto
"Polisi mmeshindwa kumdhibiti Maalim Seif hivyo nawashusha vyeo" - Naibu Waziri Mambo ya Ndani Engineer Masauni awaambia maafisa wa juu wa polisi ngazi ya RPC Pemba Kaskazini na Pemba Kusini
Daraja ndio linawezekana hayo mengine i awezekana ikawa ni siasaHilo lingine linawezekana ila la daraja hebu tuache dunia ipite
pale bandarini zanzibar pana mambo yanakera sana. Kuna uuzaji wa tiketi za ulanguzi kwa uwazi kabisa hasa tunaotaka usafiri wa Dar, hii inaumiza sana na ni kero mojawapo kwangu. Unaweza kulazimika kununua ticket kwa 50,000/= wakati ulitaka economy class 25,000/=
Kuna mtelemko mkali sana labdaDuuh flight time from JNIA to Zanzibar is almost 25 minutes... Sasa iweje hiyo surface distance Ununio to Zanzibar iwe 20 km tu??
Kwa hiyo daraja wanaplan kujenga kuunganisha wapi na wapi??Acha utoto ukiwa bagamoyo usiku unaona taa za Zanzibar ndio km 80
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app