Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa daraja kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa?
Mkuu, hawa vijana wa chadema (BAVICHA) ni wa kuonewa huruma tu.
Hapa wanasema haiwezekani Tanzania kujenga daraja la juu kuunganisha bara na visiwani, Daraja likijengwa na kukamilika watakuja na hoja nyingine za kipuuzi!
 
Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa daraja kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa? Pumbavu!
Nenda uone pale.unguja bara bara zote za rami zimejenga wan Karume zimetoboka kote hadi bara bara ya ikulu kwenda uwamja wa ndege ni aibu. hivi waafrika watakuwa wajinga mpaka lini anakua na stori za anunuasi eti atajenga daraja.

Hahahahaaa ni wapumbavu tu watakao.kubaliana na hili.
 
Mkuu, hawa vijana wa chadema (BAVICHA) ni wa kuonewa huruma tu.
Hapa wanasema haiwezekani Tanzania kujenga daraja la juu kuunganisha bara na visiwani, Daraja likijengwa na kukamilika watakuja na hoja nyingine za kipuuzi!
Hahahaaaa hopeles comment. kaangalie lile daraja la Cocobeach to ocean road linavyowatoa jasho maccm
 
Nenda uone pale.unguja bara bara zote za rami zimejenga wan Karume zimetoboka kote hadi bara bara ya ikulu kwenda uwamja wa ndege ni aibu. hivi waafrika watakuwa wajinga mpaka lini anakua na stori za anunuasi eti atajenga daraja.

Hahahahaaa ni wapumbavu tu watakao.kubaliana na hili.
Pythagoras mbona umeandika nini? Si ungeacha kuandika ili usijiabishe? Yaani kwakuwa barabara za Unguja sio nzuri basi haiwezekani kujenga daraja? Muonee huruma babaako kama alikupeleka shule!!!
 
December 13, 2019

Sera ya Serikali kudhibiti watu yapata changamoto

"Polisi mmeshindwa kumdhibiti Maalim Seif hivyo nawashusha vyeo" - Naibu Waziri Mambo ya Ndani Engineer Masauni awaambia maafisa wa juu wa polisi ngazi ya RPC Pemba Kaskazini na Pemba Kusini
Sijui haya yamekujaje hapa ?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni uzembe wako tu,tickets unatakiwa uwahi kabla hazijaisha,hizo za economy ya 25,000 unayouziwa ni ya watu walicancel safari zao na kuwapa walanguzi sasa kwasababu we umechelewa na unataka kusafiri inabidi wakuuzie maana kule ofisini nafasi zimeshaisha .

Kwahiyo hapo usimlaumu Dr Shein wala azam ni uzembe wako wa kutokufanya booking mapema.
pale bandarini zanzibar pana mambo yanakera sana. Kuna uuzaji wa tiketi za ulanguzi kwa uwazi kabisa hasa tunaotaka usafiri wa Dar, hii inaumiza sana na ni kero mojawapo kwangu. Unaweza kulazimika kununua ticket kwa 50,000/= wakati ulitaka economy class 25,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kumbe Bara mpaka Kisiwa cha Zanzibar ni 23miles au 35km
yanawezekana hayo ya daraja la 36km
lkn wenzetu hasa waOman watanuna hao!!!! maana visiwa vyao
nimeikuta mahali hii kitu
 
Back
Top Bottom