Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Six Park wewe, ni Six Pack.
Imeanza kuja pole pole kupitia deal ndogo ndogo anazopata hivi sasa mkuuMmeona mipesa ya Urusi haiji sasa mmeamua kumpa shughuli nyingine.
Tatizo lipo kwenye vidoleSi daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
Naona udakitari wake ni wa kupitiliza, unaweza kwenda na kidonda ukabandikwa li POP.Si daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
amepata viatu au bado anagonga sendoz?Ama kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executiveView attachment 653050
Haswa,MUNGU akitaka kuuinua haijalishi uko na hali gani. Hufanya surprise tu
Haha mbona kama sawa ya ukakasiSawa
Vipi imekuumaKingins au ni hicho tuu
[emoji23] hapan mkuuVipi imekuuma
kiyoyozi icho mkuuHahahahhaa tayari anazo halafu hapo hahitaji kwenda gym, mie kaniacha hoi kwa mkao wake na jinsi alivyojisiliba mafuta heheheheh.
Ila huyo dada ana sura na tabasamu zuri, hehehe Kasie mpenda kutabasamu.
Dishi limeyumba hawezi kutibu mgonjwaSi daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
Hivi hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? yaani kweli inawezekana kutukuza criminals eti ni watu maarufu? Mtu ambaye alitaka kufanya utapeli mchana kweupe? watoto wetu tunawafundisha nini?
Kwa kweli issue ya Dr. Shika inanifanya baadhi ya waTanzania wenzangu niwaangalie mara mbili mbili!