Dr. Shika Mwonekano Mpya

Dr. Shika Mwonekano Mpya

Kumbe jamaa siyo mzee sema tu maisha yalimpiga sasa ashakuwa damu changa. Mpka mke wa pili anaweza kuongezaa
 
Si daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
Naona udakitari wake ni wa kupitiliza, unaweza kwenda na kidonda ukabandikwa li POP.
 
Amina sana...

Aliitwa mlala hoi...

wanadamu waliokabidhiwa vyeo vikubwa wakamuita mbabaishaji, na tapeli (RPC -DSM)

Kweli Mungu huinua kilicho dhaifu kuhabisha wenye nguvu....

Haswa,MUNGU akitaka kuuinua haijalishi uko na hali gani. Hufanya surprise tu
 
Hivi hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? yaani kweli inawezekana kutukuza criminals eti ni watu maarufu? Mtu ambaye alitaka kufanya utapeli mchana kweupe? watoto wetu tunawafundisha nini?

Kwa kweli issue ya Dr. Shika inanifanya baadhi ya waTanzania wenzangu niwaangalie mara mbili mbili!
 
Hahahahhaa tayari anazo halafu hapo hahitaji kwenda gym, mie kaniacha hoi kwa mkao wake na jinsi alivyojisiliba mafuta heheheheh.

Ila huyo dada ana sura na tabasamu zuri, hehehe Kasie mpenda kutabasamu.
kiyoyozi icho mkuu
 
Hivi hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? yaani kweli inawezekana kutukuza criminals eti ni watu maarufu? Mtu ambaye alitaka kufanya utapeli mchana kweupe? watoto wetu tunawafundisha nini?

Kwa kweli issue ya Dr. Shika inanifanya baadhi ya waTanzania wenzangu niwaangalie mara mbili mbili!

wewe unaonekana habar za Dk Shika either unaadithiwa na wamama wanaopenda kukaa vibarazani, au utakuwa unasoma vichwa vya habar vya magazeti, kwenye mbao za wauza magazet alafu ununui gazet....
 
Back
Top Bottom