Ndug wana jamii forum,kumekuwa na taarifa ya kuhusu doctor shika kwamba Ni msomi (doctor) ,MTU huyu Kwa historian angewwza kutusaidia Kwa mambo mengi sana, MTU huyu alisomeswa Kwa pesa za serikali,pesa ya walipa kodi,.Leo hii amefikia hapo na hats kuingia kwenye matatizo,hatujui Ni nn kimemkuta mpaka kawa hivi,
Wounderfully
Serikali imemkamata na kumuweka kizuizin,badala ya kujua nijinsi gani asaidiwe ili tufaidi mile alicho somea huko URUSI.
Wounderfully
Serikali imemkamata na kumuweka kizuizin,badala ya kujua nijinsi gani asaidiwe ili tufaidi mile alicho somea huko URUSI.