Dr shika

Dr shika

E.M.E.M

Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
41
Reaction score
15
Ndug wana jamii forum,kumekuwa na taarifa ya kuhusu doctor shika kwamba Ni msomi (doctor) ,MTU huyu Kwa historian angewwza kutusaidia Kwa mambo mengi sana, MTU huyu alisomeswa Kwa pesa za serikali,pesa ya walipa kodi,.Leo hii amefikia hapo na hats kuingia kwenye matatizo,hatujui Ni nn kimemkuta mpaka kawa hivi,

Wounderfully

Serikali imemkamata na kumuweka kizuizin,badala ya kujua nijinsi gani asaidiwe ili tufaidi mile alicho somea huko URUSI.
 
Itapendeza
IMG-20171113-WA0085.jpg
 
ukianza wewe jitahada za kumuwekea dhamana itapendeza.
 
Kama ni mtambo wamuache aendelee na ndoto zake za kusubili pesa kutoka urusi
 
Naona akiwekwa huru itapendeza zaidi
 
Ndug wana jamii forum,kumekuwa na taarifa ya kuhusu doctor shika kwamba Ni msomi (doctor) ,MTU huyu Kwa historian angewwza kutusaidia Kwa mambo mengi sana, MTU huyu alisomeswa Kwa pesa za serikali,pesa ya walipa kodi,.Leo hii amefikia hapo na hats kuingia kwenye matatizo,hatujui Ni nn kimemkuta mpaka kawa hivi,

Wounderfully

Serikali imemkamata na kumuweka kizuizin,badala ya kujua nijinsi gani asaidiwe ili tufaidi mile alicho somea huko URUSI.

Wounderfully!!
 
Back
Top Bottom