Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Shallom.
Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.
Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.
Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua wakati wa Mapambano Chini ya Ukawa 2015.
Kiukweli mambo mazito yaliwekwa wazi kwenye interview ile.
Dr Slaa amepata nafasi ya kuweka wazi yoote yaliyojiri hadi akaamua kukimbilia Canada kwa msaada wa Balozi wa Kanad na sio kwa msaada wa CCM kama tulivyoaminishwa hapo awali.
Amedai kuwa Kamati na Mifumo husika ilimwandaa kugombea na Kuwa Rais wa JMT. Mifumo hiyo ilimpeleka kwenye mafunzo ya kujiandaa kuongoza Nchi.
Mafunzo hayo yalifanyika chini ya magwiji wa Trainings za Marais akiwemo Mkufunzi wa Chancelor wa Ujermani Bi Angela Mark yaliyofanyika Nchini Italia.
Mambo mengi ameyazungumza interview iko Youtube.
Dr Slaa unisameehe pale nilipokuita Dr Mihogo ilikuwa ni Hasira tu na hatukuujua ukweli.