Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

Yaani Mzee wa watu alioga afu mjini hakwenda - ha ha ha
Kwa hiyo hasira hizo ndiyo akaitisha ile press na kusema ndoo ya choo imeletwa sebureni, so hawezi kuishi na debe la toilet.

Ila Mzee atambue kwamba siasa ni dynamics - zinabadilika.kutokana na muda & mazingira yaliyopo. Ujio wa EL ulikuwa na impact kubwa sana kuliko yeye kwa muda huo infact EL alishinda uchaguzi ila mfumo ukamgomea kumpa urais.
 
Back
Top Bottom