Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

Usisahau kuwa babu Slaa alikwenda CCM ili kumpigia kampeni Magufuli.

Lengo lake lilikuwa ni nini kama sio kutaka kuona CCM inabakia madarakani kwa gharama yoyote?
 
Kamanda wa anga mzee wakuzungusha ngumi angani.mzee wa fursa kapiga bingo ya luwasa kamtema bg g kwa karanga ya kuonja.luwasa kaletwa na ccm na kamaliza kazi.MISSION ACOMPILISHED
 
Usisahau kuwa babu Slaa alikwenda CCM ili kumpigia kampeni Magufuli.

Lengo lake lilikuwa ni nini kama sio kutaka kuona CCM inabakia madarakani kwa gharama yoyote?

Ndio point yangu kwenye comment ya kwanza kwamba huyu mzee naye alipunguza kura za Ukawa hivyo awe mpole tu kuona CCM ipo madarakani hadi sasa, hata yeye kachangia indirectly...
 
... wazungu bhana! ... yaani wanamnywesha mtu ma'bulga' akiwa primary halafu wanamuandaa kuwa rais wetu!!!? ... HII DHARAU!
😅
 
Dr.Slaa alikuwa ameshajiandaa kuwa raisi wetu wa Tanzania mara ghafla akaletewa Lowassa imagine kama ungekuwa ni wewe ndugu...

Anguko la Mbowe litamfanya Dr.Slaa kurejea ulingo wa Siasa za CHADEMA.
 
Tuliishawahi kusema humu kwamba wafuasi wengi wa Chadema (ambao sasa hivi wengi wao wanamuunga mkono Lissu) wanaropoka kwanza halafu wanafikiri baadae kama alivyo icon wao Lissu. Na wewe Bush Dokta ni shahidi!
 
Dr.Slaa alikuwa ameshajiandaa kuwa raisi wetu wa Tanzania mara ghafla akaletewa Lowassa imagine kama ungekuwa ni wewe ndugu...

Anguko la Mbowe litamfanya Dr.Slaa kurejea ulingo wa Siasa za CHADEMA.
Amerudi Full combat
 
Ndio point yangu kwenye comment ya kwanza kwamba huyu mzee naye alipunguza kura za Ukawa hivyo awe mpole tu kuona CCM ipo madarakani hadi sasa, hata yeye kachangia indirectly...
Alizipunguza sana
 
Training ya kuwa Rais? Italia? Dr. Slaa ni mwanasiasa mkongwe lakini hayuko serious.

Rais anaandaliwa na mabeberu?? WTF? Huyo ni rais wa nchi au wakala wa Vatican na mabeberu wa Ulaya?
 
Unajua kwanini Kila Rais duniani akichaguliwa lazima aende Vatican? Hata Mama alienda?
 
Training ya kuwa Rais? Italia? Dr. Slaa ni mwanasiasa mkongwe lakini hayuko serious.

Rais anaandaliwa na mabeberu?? WTF? Huyo ni rais wa nchi au wakala wa Vatican na mabeberu wa Ulaya?
Kikwete aliwahi sema Uraisi hausomewi

Slaa hayo ya kusomea uraisi kayatoa wapi?.

Maraisi wote wa Tanzania hakuna aliyewahi kusomea uraisi

Wazungu wimtapeli Slaa kumsomesha elimu feki.yenye cheti feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…