MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
BABU anapiga milioni saba kwa mwezi, hii habari ya POSHO inapita sikio moja na kutokea lingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kote huko mbali sana, mwenyekiti wake mbowe ni mjumbe wa kamati ya kudai ongezeko la posho
Hiyo habari ni ya kwako bwana na wala siyo itv yani umepotosha sana na kikubwa zaidi kilicho kufanya uandike ivyo ni chuki uliyo nayo zidi ya dr slaa.
akika ninawaambieni alipangalo mungu binadamu awezi kuli...........
Ni mzee wa kudandia hoja maana kwasasa hana hoja. Swala la posho bosi wake yupo kwenye kamati ya kuitathmini yeye anakurupuka maana ameshaona nyota ikififia huko Kalenga.
Nasari aliweka wazi msimamo wake na wenzie je alilimwa barua?
Slaa alikataza tusimpe zito ushirikiano. Je katika hili anataka kutuambia amebadili msimamo au Zito ndiyo anamfusa?
Nilishangaa eti mgombea wa ccm alibadili uraia ili aoe dah kweli uongo mwingine hauelezeki. Eti alioa 2010 wakati jamaa alioa 2012. Sasa mzee anadandia hoja dah
Acha shule wewe kwa hiyo slaa bosi wake ni mbowe? Rudi shule ww!
Kupinga posho ya shi ngapi. Zito alikuwa anavuta ndefu ndio maana ile akaacha.
Mambo ya posho wala tusidanganyane. Wanasiasa wote wanapenda posho na wanazitamani. Huyu si ndiye aliyeondoka na posho za ubunge kwenda kugombea Urais ili akishindwa abaki na posho za ubunge leo anapinga posho.
Akiwahutubia wananchi leo mjini iringa katika uzinduzi wa kampeni za jimbo la kalenga DK slaa amesema atazunguka nchi nzima kupinga posho kuongezeka zaidi ya laki tatu. nimestuka huyu amesahau ndani ya chama chake mh lema alijitokeza wazwazi kumpinga mh Zitto kuhusu suala la posho vilevile mbunge selasini aliweka wazi kuwa anaunga mkono suala la posho kuongezeka likamalizikia kwa shibuda aliesema anashangaa mtu kukataa posho.
Wabunge hwawa walidai watachukua posho za bunge licha ya chama kuweka msimamo wa kupinga posho lakini sikusikia hata siku moja akiwakemea au kuwaandikia barua kutoa onyo kwa kwenda kinyume na msimamo wa chama.
Cha kushangaza nikuwa DK slaa alipoombwa kugombea uraisi alikumbuka posho za kibunge na kuweka masharti ya kulipwa km mbunge ndipo agombee. je uzalaendo wako kimsingi ukowap juu yaposho na maslahi binfsi.
Source: ITV News
Ndani ya chadema kiongozi makini ni zitto pekee, wengine chenga tupu

Nimekuwa nikitafiti kwann kuna genge la watu hapa kuhakikisha linasema ubaya kila atakapotajwa slaa. Binafsi simushabikii bali pia sioni sabab ya kuwa na chuk kiasi hicho? Aliwafanyia nn nyie ccm? Tuna makatibu 21 wa vyama je wote mnajua mishahara yao? Hivi mnajua mishahara ya mawaziri? Rais? Posho za lundo la watu wanaoshinda angani wakitembea kuzunguka dunia? Hamkuona wabunge karibuni wote walikuwa majuu bila manufaa yoyote kwa walala pu! Mbona hamukuandika? Mnajua kwann kila mara posho posho ni nani mlezi na anahakikisha mfumo haufi? Hamjui ni mfumo mfu wa ccm kuwalipa zaidi watu wachache kwa visingizio vya safari, vikao, semina, nk? Mwalimu wa kata anavyo? Je atapataje posho iliyopanda hadi 120,000/. Nawaomba mtoke mtuambie kitu gani kibaya ambacho slaa aliwafanya. Hii chuki kwa baadhi ya watu, na ni wachache sana wa kuhesabiwa, wanaandika kwa fujo na mmoja zaidi ya mara nyingi kawaharibia deal ipi huyu mzee? Niliona % yakupendwa ilikuwa juu sana kwa hapa jf! Tujiangalie wenyewe kwanza.
Maji taka...