Dr.slaa afunguka kuhusu posho - uzalendo wa DK SLAA ukowapi???

Dr.slaa afunguka kuhusu posho - uzalendo wa DK SLAA ukowapi???

Acha papara kijana.

Mungu hamfichi mnafiki hata siku moja. Yeye Dr. Slaa anachukua hela za ubunge bila ya kuzifanyia kazi yoyote halafu leo hii anataka kuwaambia kitu gani wananchi?

Haya chagadema njooni huku mnaodai Slaa halipwi kama mbunge.
 
Slaa ni mpiga dili tu kama wachaga wengine pale ufipani na saccos yao wananchi washashtuka.
 
Umeonaeeenh huyu hafai hata kuwa Rais coz anaweza kuiuza nchi kabisaaaa na watu hawatampa kura ng'oooooo!!

Haifai hata kufikiria kwamba Dr Slaa atakuwa rais wa nchi hii labda asubiri wenye akili timamu wote waondoke duniani.
 
Kama kikwete kaweza kuwa Rais unadhani nani atashindwa !...Dr.Slaa is briliant a million times compared to the current President.
 
Umeonaeeenh huyu hafai hata kuwa Rais coz anaweza kuiuza nchi kabisaaaa na watu hawatampa kura ng'oooooo!!

Mbona mmeuza nchi kwa wachina kisa miraji a matonya wasinyongwe kwa kukamatwa na mihadarati
 
Akiwahutubia wananchi leo mjini iringa katika uzinduzi wa kampeni za jimbo la kalenga DK slaa amesema atazunguka nchi nzima kupinga posho kuongezeka zaidi ya laki tatu. nimestuka huyu amesahau ndani ya chama chake mh lema alijitokeza wazwazi kumpinga mh Zitto kuhusu suala la posho vilevile mbunge selasini aliweka wazi kuwa anaunga mkono suala la posho kuongezeka likamalizikia kwa shibuda aliesema anashangaa mtu kukataa posho.

Wabunge hwawa walidai watachukua posho za bunge licha ya chama kuweka msimamo wa kupinga posho lakini sikusikia hata siku moja akiwakemea au kuwaandikia barua kutoa onyo kwa kwenda kinyume na msimamo wa chama.

Cha kushangaza nikuwa DK slaa alipoombwa kugombea uraisi alikumbuka posho za kibunge na kuweka masharti ya kulipwa km mbunge ndipo agombee. je uzalaendo wako kimsingi ukowap juu yaposho na maslahi binfsi.

Source: ITV News


Hii ni zamadamu ila angetueleza kwanza yeye analipwa sh. Ngi na chama chake!!!
 
Mbona mmeuza nchi kwa wachina kisa miraji a matonya wasinyongwe kwa kukamatwa na mihadarati

Mkamiti usijifanye msukule wa Silaa, huyo atawamaliza!mmegeuzwa kama nguzo za Tanesco kupitishia ajenda za CDM afu bado hamjielewi kila time mnabufuliwa afu bado mnaendelea kutumiwa kama misukule!!!na hiyo M4C yenu kaulimbiu ya wachumtumbo.
 
Back
Top Bottom