Dr.slaa afunguka kuhusu posho - uzalendo wa DK SLAA ukowapi???

BABU anapiga milioni saba kwa mwezi, hii habari ya POSHO inapita sikio moja na kutokea lingine.
 
Hiyo habari ni ya kwako bwana na wala siyo itv yani umepotosha sana na kikubwa zaidi kilicho kufanya uandike ivyo ni chuki uliyo nayo zidi ya dr slaa.
akika ninawaambieni alipangalo mungu binadamu awezi kuli...........

Mungu kapanga kumuumbua slaa
 

Acha shule wewe kwa hiyo slaa bosi wake ni mbowe? Rudi shule ww!
 
Acha shule wewe kwa hiyo slaa bosi wake ni mbowe? Rudi shule ww!

Acha papara kijana.

Mungu hamfichi mnafiki hata siku moja. Yeye Dr. Slaa anachukua hela za ubunge bila ya kuzifanyia kazi yoyote halafu leo hii anataka kuwaambia kitu gani wananchi?
 
Hawa wakipewa nchi wanaweza wakasahau kutuhudumia wakahangaika na posho. Anawazingua raia tu ili apate kura, mbona wabunge wake + mwenyekiti wake hawajatoka nje ya ukumbi kugomea hizo posho. Hakika utawatambua kwa matendo yao mkuu!
 
Mambo ya posho wala tusidanganyane. Wanasiasa wote wanapenda posho na wanazitamani. Huyu si ndiye aliyeondoka na posho za ubunge kwenda kugombea Urais ili akishindwa abaki na posho za ubunge leo anapinga posho.

Surel but the situation is even good for other politicians who have a defined carrier/professional....Dr Slaa hana carrier or professional yeyote na ndio maana maamuzi mengi ndani ya chama ni kujiimarisha awepo hapo na kumfurahisha Mtei.

pity
 
Mkuu Ritz
Hivi Josephine angekuwa mjumbe babu angekataa hizo posho?
 
Last edited by a moderator:

Maji taka...
 
slaa ka muvi za kichina watu wanapaa angani na n.k. Anatafuta tu kuaminika lakin hana lolote. Kwa msing wa makubaliano yake na chadema ina maana na yy sa hv analipwa lak tatu kwa cku na ikipanda naye ataongezewa so hata akijifanya kupinga ni kiini macho.
 
Nimekuwa nikitafiti kwann kuna genge la watu hapa kuhakikisha linasema ubaya kila atakapotajwa slaa. Binafsi simushabikii bali pia sioni sabab ya kuwa na chuk kiasi hicho? Aliwafanyia nn nyie ccm? Tuna makatibu 21 wa vyama je wote mnajua mishahara yao? Hivi mnajua mishahara ya mawaziri? Rais? Posho za lundo la watu wanaoshinda angani wakitembea kuzunguka dunia? Hamkuona wabunge karibuni wote walikuwa majuu bila manufaa yoyote kwa walala pu! Mbona hamukuandika? Mnajua kwann kila mara posho posho ni nani mlezi na anahakikisha mfumo haufi? Hamjui ni mfumo mfu wa ccm kuwalipa zaidi watu wachache kwa visingizio vya safari, vikao, semina, nk? Mwalimu wa kata anavyo? Je atapataje posho iliyopanda hadi 120,000/. Nawaomba mtoke mtuambie kitu gani kibaya ambacho slaa aliwafanya. Hii chuki kwa baadhi ya watu, na ni wachache sana wa kuhesabiwa, wanaandika kwa fujo na mmoja zaidi ya mara nyingi kawaharibia deal ipi huyu mzee? Niliona % yakupendwa ilikuwa juu sana kwa hapa jf! Tujiangalie wenyewe kwanza.
 

Mzee wa siasa za matukio huyo! Sasa posho ya Bunge la katiba ndio alichotumwa kuwasaidia wana Kalenga! Hana hoja! Subiri anguko kuu la chadema.
 

Muulize Slaa hiyo chuki gani aliyofanyiwa na Chadema mpaka akaidai posho zote za kibunge ikiwa ni sehemu la sharti la yeye kugombea u rais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…