The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Maudhi mengine Bwana, Siasa ni uchafu, inanuka kero tupu. Sasa sijui Mbowe kshikishwa na CCM? Kama una akili timamu huwezi kumuachia Dr.Slaa agombee Uraisi huku ukijua hatashinda matokeo yake Bunge litasinzia, litabaki halina msisimko.
We will take our chance.
Ni heri kukosa Mbunge Slaa kuliko kuwa na Watanzania Makondoo wanaotaka watafuniwe kila kitu na hata hivyo kumeza bado watasema hawawezi. Sijui kuwaingizia mirija kwenye makoromeo yao na kuwapitishia Wakurya wakiitacho "NYUKA?" (uji).
Tumewachokeni wote mnaosema JIMBO LA KARATU. Muanze kufahamu kuwa TGV limeshaondoka kuelekea Magogoni. Au mnapanda na sisi kuelekea huko au mkae kimya. Mstari umeshachorwa.............
UKO NA SLAA AU UKO NA MAFISADI.
Hapo chini kwenye BOLD, hata Yesu na Nyerere walisema "Sintakuwa nanyi milele........" Kwa nini msitafute wabunge wengine walete msisimko? Kwa nini mnaendelea kuwachagua haohao CCM mkifahamu kuwa wanaleta usingizi?
Mmekuwa mkilalamika kuwa KIKWETE anaogopa kufanya MAAMUZI MAGUMU, haya basi. Mmepata mtu anayefanya maamuzi magumu na mnaanza kuleta story nyingine nyingiiiii..... Kama wewe ni mwanamume basi naanza kuamini wimbo wa Lady JD kuwa "Wanaume kama Mabinti". Kama wewe na wanaolilia jimbo la Karatu ni Wanawake basi sintashangaa maana ni HULKA (nafahamu kuwa siyo wote, akina mama msiniuwe).
Picha nyingine za Karatu hizi hapa
Uwiiiiiiiiii!!! Wananchi wa Karatu wakipiga yowe baada ya mshehereshaji kuchombeza "ccm oye"
Nimeona kwenye ITV slaa akiwa huko karatu.jamani ule umati unatisha.swala ni je hawa watu wamejiandikisha kupinga kura?na je siku hiyo kama wamejiandikisha watakwenda.Kunahitajika elimu ya kutosha kabla ya tarehe ya uchaguzi ule umati unahamasisha sana.
Naona hapa Sultan CCM ameafanikiwa kumteka au kumnunua SLAA ili kuugawa upinzani na pia kuhatarisha jimbo kutekwa na CCM ,jamani Slaa na uraisi wapi kwa wapi ? Ninawasiwasi Chadema wanatuika kuzigawa kura za WaTZ
habari zilizopatikana toka huko ni kuwa jamaa amefunika ile mbaya.Mamia ya watanzania wajitokeza kumpokea.Ilikuwa ni furaha na vifijo.
GS, over excitement si jambo jema sana! Mikakati ndiyo muhimu!
Naona hapa Sultan CCM ameafanikiwa kumteka au kumnunua SLAA ili kuugawa upinzani na pia kuhatarisha jimbo kutekwa na CCM ,jamani Slaa na uraisi wapi kwa wapi ? Ninawasiwasi Chadema wanatuika kuzigawa kura za WaTZ