Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com,,,,,,,,,,,,,Kingine kitakachoimaliza CHADEMA ni swala la Dr slaa kuhubiri kwenye majukwaa kuwa atatoa elimu bure na afya bure lakini mtu huyuhuyu ni mwenyekiti wa bodi wa hospitali ya CCBRT ambayo inapewa shilingi bilioni moja kwa mwaka halafu bado haitoi huduma bure kwa asilimia mia moja haya hiki ni kiinimacho kingine cha CHADEMA.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
ndugu zangu wa-tz, sitochoka kutoa duku duku langu juu ya kiongozi huyu mumtakae nyinyi.
Najua wengi mtachukizwa, lakini hii ni haki yangu ya msingi ya kikatiba, hivi kiongozi mwenye visasi kama huyu wa nini? Au taarifa hii mmeifumbia macho na masikio kwa makusudi?
Huyu slaa mnaedhani atakuwa rais, ndiye aliyemchimbia mkwara ndugu mwakipesile.
Kama ndoto zake za kuingia ikulu zilivyomtuma, akaamua kumchimbia mkwara kwa kuona ni kikwazo kwake.
Nna mashaka si mwkipesile tu atakayetafuta pa kupita, watanzania lukuki watakiona kwa ufedhuli atakaoufanya.
Mpaka walom-support katika jf watajuta ila itakuwa too-late.:nono:
Lakini wadau wa jf msiogope, kaka/baba mdogo/mjomba 'enu hatoingia ikulu.
Kikwete ndio chaguo la wa-tz wengi.
Chagua ccm, chagua kikwete.
Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com,,,,,,,,,,,,,Kingine kitakachoimaliza CHADEMA ni swala la Dr slaa kuhubiri kwenye majukwaa kuwa atatoa elimu bure na afya bure lakini mtu huyuhuyu ni mwenyekiti wa bodi wa hospitali ya CCBRT ambayo inapewa shilingi bilioni moja kwa mwaka halafu bado haitoi huduma bure kwa asilimia mia moja haya hiki ni kiinimacho kingine cha CHADEMA.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com,,,,,,,,,,,,, ...EBU FUTA VIJIDETAILS VYAKO HAPA. Si sehemu ya promosheni apa. Kalipie subscription ili utangazwe huko kunakohusika. Humu ndani ni mijadala tu,kila mtu akiweka details,basi JF ITAKUWA BANGO LA PROMOSHENI, wazidi kumponda Slaa? Wee jenga hoja tu,wanaJF tutakuelewa.
Taratiiiiiiiiiiiiibuu mwisho wa CCM unakaribia, maana wameacha hata kunadi ilani ya uchaguzi walioitunga wenyewe. Jamaa jana anaropoka;
1. Fly-over tano Dar (Ubungo, Magomeni, Temeke, Tazara na Faya) - ndani ya miaka mitano ni upuuuuzi mtupu
2. Machniga complex tano Dar - hata hiyo moja aliyoianzisha Mkapa hajaimaliza, huyu ndiye Rais Ahadi mnayemtaka
pongezi kwako hatutaki Rais mwenye visasi.Hizo ni kampeni za vitisho. Ndio maana nasema afadhali ya Dr Kikwete
pongezi kwako hatutaki Rais mwenye visasi.Hizo ni kampeni za vitisho. Ndio maana nasema afadhali ya Dr Kikwete
WanaJF Habari yenu!
Hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga hapa ingawa nimekuwa msomaji mzuri tu wa huu mtandao kwa kipindi kirefu kilichopita.
anyway nimependa tu nichangie hapa kwa kuwa kipindi tulichoacho ni muhimu kwetu Watanzania.
Nafikiri hatuhitaji kiongozi/viongozi wa visasi. Ikiwa hivyo basi nchi itaangamia kwani kiongozi huyohuyo ni mtanzania na anaishi humuhumu nchini. Sidhani kama watu watapenda kuona na kukaa kimya visasi vitakapotawala. Hatima yake ni vita na migogoro.
Suala la umeme kukatika wakati wa kampeni si lazima liwe hujuma, mbona umeme hukatika hata kipindi watu wakiwa katika vyumba vya upasuaji mahospitalini!!! Nafikiri ingekuwa busara kwa Chadema kujiandaa hata kwa jenereta wakijua fika kabisa nchi ina matatizo ya umeme na lolote lingeweza kutokea.
Ni hayo tu wanaJF, tusaidie kuifanya nchi iendelee kuwa kisiwa cha Amani.
Mama Porojo,
Hamtaki wewe na nani!!! Ni yupi aliyekutuma umsemee hapa!! Sema simtaki Rais mwenye visasi usiseme hatumtaki kwani kila mtu hapa ana nafsi yake!!!!
Tiba
NAJUA WENGI MTACHUKIZWA, LAKINI HII NI HAKI YANGU YA MSINGI YA KIKATIBA, HIVI KIONGOZI MWENYE VISASI KAMA HUYU WA NINI? AU TAARIFA HII MMEIFUMBIA MACHO NA MASIKIO KWA MAKUSUDI?
Ndugu Jafar,
Nilishiriki ktk Awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere, wakati huo tukiwa na Five Year Plans. Mbona hizi ahadi za J.K. zinaonekana kana kwamba hakuna mpangilio wowote? Chini ya serikali ya CCM hakuna Mpango unaohakikisha mapato ya Taifa, pamoja na mikopo ambayo tunaweza kupata, yatatumika vipi? Did Five Year Plans lapse with the death of Nyerere?
J.K. akiwa Kanda ya Ziwa aliahidi Vivuko, Meli na barabara za lami, akiwa Kigoma aliahidi Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa. Juzi ameahidi Bagamoyo kiwanja cha ndege kingine cha kimataifa pamoja na Bandari ya kisasa. Matumizi ya viwanja hivi wakati Air Tanzania iko mahtuti, hayaeleweki.
Hospitali za Rufaa zimeahidiwa huko Ruvuma na sijui wapi tena. Sasa Dar es Salaam inaahidiwa Machinga complexes tano na Fly-overs ktk kila manispaa. Hivi vyote viko ktk Five Year Plan au ni vya jukwaani tu?
Katika 5Year Plans za siku hizo zetu, tulikuwa tuna-forecast pia upatikanaji wa wataalam wa kikwetu kuendesha miraji tuliyojiwekea. Tulitazama nchi nzima, sio kwa mahitaji ya fedha za maendeleo tu, bali pia kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya Serikali na taasisi zake. Hizi ahadi za J.K. endapo atashinda zikitekelezwa, si lazima sehemu nyingine zisubiri? Tusimchague huyu? Amechanganyikiwa!!!!!!!!!
Makwaiya wa Kuhenga ktk kipindi chake katika Runinga anauliza "Je Tutafika?"
Acha kuonyesha ujinga wako. Marekani ni nchi ya kibepari na inatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi high school. It is all about priorities. Lete hoja nyingine!Jatropha umesoma hii............Tatu kisera CHADEMA ni vigeugeu kwa maana ukiangalia katika katiba yao inaeleza wazi kuwa wao wanafata misingi ya ubepari lakini leo hii wanajinadi majukwaani kuwa watatoa elimu bure na afya bure ilihali wanajua fika kuwa katika ubepari hakuna kitu cha bure hata jeneza linauzwa na hata wachimba kaburi wanalipwa, sasa wanapoibuka watu makini wenye upeo mpana kama Maggid Mjengwa anapovitaka vyama vya siasa vijipambanue kiitikadi kwa maneno na vitendo kama wanafata itikadi ya kijamaa au ubepari wanachadema ambao wengi wao hujadili watu badala ya hoja wanalipuka kwa jazba na matusi, haitoshi CHADEMA walikuja na sera ya majimbo 2005 lakini cha ajabu imeyeyuka mwaka huu 2010 bila sababu za kina, lakini haya yote tisa kumi ni hili swala la CHADEMA kukunja ngumi na kusalimiana peoples power………..hivi kwa mtu timamu ngumi nayo hoja? au ugomvi?..............Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com