Elections 2010 Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

Elections 2010 Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

Hivi kwanini wanao shabikia sisiem jf wameamua kutumia majina ya ajabuajabu wengine hadi magonjwa!! Au sisiem ni kero nyingine!

Ila heko mkuu sasa napata picha upepo unakovumia!! Msamehewe mmeomba radhi ombeni msamaha myakiri hadharani maovu mliyotenda kabla muheshimiwa hajaanza kazi watanzania watawasamehe mkileta kadhia mtanyea mtondoo tu!
Muheshimiwa kazi mojawapo anayotumwa ni kuwashughulikia waouvu wote sasa naye akijifanya mahakama wakati wake kuhukumiwa utafika!! Napata tumaini mawazo ya mwanakijiji Chadema ianze kuwaanda wanaccm kisakolojia kukubali matokea huyu ni mmoja wapo!
 
NDUGU ZANGU WA-TZ, SITOCHOKA KUTOA DUKU DUKU LANGU JUU YA KIONGOZI HUYU MUMTAKAE NYINYI.

NAJUA WENGI MTACHUKIZWA, LAKINI HII NI HAKI YANGU YA MSINGI YA KIKATIBA, HIVI KIONGOZI MWENYE VISASI KAMA HUYU WA NINI? AU TAARIFA HII MMEIFUMBIA MACHO NA MASIKIO KWA MAKUSUDI?

HUYU SLAA MNAEDHANI ATAKUWA RAIS, NDIYE ALIYEMCHIMBIA MKWARA NDUGU MWAKIPESILE.

KAMA NDOTO ZAKE ZA KUINGIA IKULU ZILIVYOMTUMA, AKAAMUA KUMCHIMBIA MKWARA KWA KUONA NI KIKWAZO KWAKE.

NNA MASHAKA SI MWKIPESILE TU ATAKAYETAFUTA PA KUPITA, WATANZANIA LUKUKI WATAKIONA KWA UFEDHULI ATAKAOUFANYA.

MPAKA WALOM-SUPPORT KATIKA JF WATAJUTA ILA ITAKUWA TOO-LATE.:nono:

LAKINI WADAU WA JF MSIOGOPE, KAKA/BABA MDOGO/MJOMBA 'ENU HATOINGIA IKULU.

KIKWETE NDIO CHAGUO LA WA-TZ WENGI.

CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE.

Umeandika kwa herufi kubwa ni kuonesha msisitizo au? ...presha inapanda, inashuka eeh?
 
Hivi kwanini wanao shabikia sisiem jf wameamua kutumia majina ya ajabuajabu wengine hadi magonjwa!! Au sisiem ni kero nyingine!

Ila heko mkuu sasa napata picha upepo unakovumia!! Msamehewe mmeomba radhi ombeni msamaha myakiri hadharani maovu mliyotenda kabla muheshimiwa hajaanza kazi watanzania watawasamehe mkileta kadhia mtanyea mtondoo tu!
Muheshimiwa kazi mojawapo anayotumwa ni kuwashughulikia waouvu wote sasa naye akijifanya mahakama wakati wake kuhukumiwa utafika!! Napata tumaini mawazo ya mwanakijiji Chadema ianze kuwaanda wanaccm kisakolojia kukubali matokea huyu ni mmoja wapo!
 
Nimekutana na list hii kutoka kwenye forum ya Global:

AMRI KUMI ZA UCHAGUZI MKUU 2010!

1. Dr Slaa ndiye Rais wako; usimchague mtu mwingine!
2. Usimpe KIKWETE kura yako!
3. Shika jina la Dr Slaa hata baada ya 31/10/2010!
4. Wachague Rais, wabunge na madiwani wa CHADEMA upate heri na miaka mingi TANZANIA!
5. Waogope CCM kama ukoma!
6. Usiuze kura yako!
7. Usiibiwe kura yako!
8. Usisikilize uongo wa CCM!
9. Usizitamani pesa za CCM!
10. Usimtamani KIKWETE asiye Rais wako!

Mwandishi wake alikuwa Ludovick Peter
 
Mh huku JF ukimpinga tu wanayemtaka inakuwa balaa. Yani hata kama ni ukweli wanaweza kukutoa roho. Sasa nauliza yule mgombea mwingine aliyeanguka toilet na kuvunja mkono sijui pua hakuwa mgonjwa??? Kama kuanguka tu ndo kisingizio basi yule alikuwa mgonjwa zaidi hadi kuvunja mkono.

Poleni watu wote mnaoitamani ikulu ili mkalipe visasi huko. AMINI NAWAAMBIA.. MTAISIKIA IKULU KWENYE BOMBA TU NA KAMWE VISASI VYENU HAVITOLIPIKA. LABDA MKAROGE..
 
Back
Top Bottom