Mkulima mimi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2009
- 233
- 32
Hivi kwanini wanao shabikia sisiem jf wameamua kutumia majina ya ajabuajabu wengine hadi magonjwa!! Au sisiem ni kero nyingine!
Ila heko mkuu sasa napata picha upepo unakovumia!! Msamehewe mmeomba radhi ombeni msamaha myakiri hadharani maovu mliyotenda kabla muheshimiwa hajaanza kazi watanzania watawasamehe mkileta kadhia mtanyea mtondoo tu!
Muheshimiwa kazi mojawapo anayotumwa ni kuwashughulikia waouvu wote sasa naye akijifanya mahakama wakati wake kuhukumiwa utafika!! Napata tumaini mawazo ya mwanakijiji Chadema ianze kuwaanda wanaccm kisakolojia kukubali matokea huyu ni mmoja wapo!