Elections 2010 Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

Hivi kwanini wanao shabikia sisiem jf wameamua kutumia majina ya ajabuajabu wengine hadi magonjwa!! Au sisiem ni kero nyingine!

Ila heko mkuu sasa napata picha upepo unakovumia!! Msamehewe mmeomba radhi ombeni msamaha myakiri hadharani maovu mliyotenda kabla muheshimiwa hajaanza kazi watanzania watawasamehe mkileta kadhia mtanyea mtondoo tu!
Muheshimiwa kazi mojawapo anayotumwa ni kuwashughulikia waouvu wote sasa naye akijifanya mahakama wakati wake kuhukumiwa utafika!! Napata tumaini mawazo ya mwanakijiji Chadema ianze kuwaanda wanaccm kisakolojia kukubali matokea huyu ni mmoja wapo!
 
Umeandika kwa herufi kubwa ni kuonesha msisitizo au? ...presha inapanda, inashuka eeh?
 
Hivi kwanini wanao shabikia sisiem jf wameamua kutumia majina ya ajabuajabu wengine hadi magonjwa!! Au sisiem ni kero nyingine!

Ila heko mkuu sasa napata picha upepo unakovumia!! Msamehewe mmeomba radhi ombeni msamaha myakiri hadharani maovu mliyotenda kabla muheshimiwa hajaanza kazi watanzania watawasamehe mkileta kadhia mtanyea mtondoo tu!
Muheshimiwa kazi mojawapo anayotumwa ni kuwashughulikia waouvu wote sasa naye akijifanya mahakama wakati wake kuhukumiwa utafika!! Napata tumaini mawazo ya mwanakijiji Chadema ianze kuwaanda wanaccm kisakolojia kukubali matokea huyu ni mmoja wapo!
 
Nimekutana na list hii kutoka kwenye forum ya Global:

Mwandishi wake alikuwa Ludovick Peter
 
Mh huku JF ukimpinga tu wanayemtaka inakuwa balaa. Yani hata kama ni ukweli wanaweza kukutoa roho. Sasa nauliza yule mgombea mwingine aliyeanguka toilet na kuvunja mkono sijui pua hakuwa mgonjwa??? Kama kuanguka tu ndo kisingizio basi yule alikuwa mgonjwa zaidi hadi kuvunja mkono.

Poleni watu wote mnaoitamani ikulu ili mkalipe visasi huko. AMINI NAWAAMBIA.. MTAISIKIA IKULU KWENYE BOMBA TU NA KAMWE VISASI VYENU HAVITOLIPIKA. LABDA MKAROGE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…