Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
hapa anamwambia shehe mkuu mahakama ya kadhi inakuja mwakani usijali
huyo mtu katumwa dawa yake tumkaushie akileta upuuzi wake humu.ili siku nyingine ajue humu ni sehemu ya watu wenye upeo mkubwa wa kupambanua mambo. huyo ni agent wa mafisadi. katumwa huyo.
OIC, Mahakama ya Kadhi,......
Hii ni baada ya kushindwa urais ameamua kurudi zake kundini...
MOD naomba mfunge hii thread, ninapicha za ajabu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mafisadi ninashawishika kuziweka.
Ziweke mkuuu!MOD naomba mfunge hii thread, ninapicha za ajabu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mafisadi ninashawishika kuziweka.
Mkuu nimekubali, manake retreat yako imekuwa fasta sana.MOD naomba mfunge hii thread, ninapicha za ajabu za Mwenyekiti wa Chama Cha Mafisadi ninashawishika kuziweka.