Dr. Slaa ameamua kurudi kufanya kazi hii...

Dr. Slaa ameamua kurudi kufanya kazi hii...

Naambiwa kuwa huyu jamaa ni Mwandishi wa habari wa UHURU...............

90cart01102006oo6.jpg
 
Rev. Masa usiziweke watakuwa wamejifunza!
 
u seems to be out of ur mind,get a rest pls
 
Kuna watu wengine bwana, bangi mnavutia vichakani halafu mnakuja kuzitolea humu JF
 
Well ni utani but inaweza kuwa na negative implication. Ni photo shop cheki mikono hiyo ni ya mzungu!
 
Jamani hizi chokochoko za personality si kitu kizuri. Hapa ni kwa Great thinkers, hapatakiwi kuwa derailed na feeble minds ambazo zinajikita kuzodowa personalities ambazo zingine ni role modal at international scale. Halafu hawa watu ni wale wale kila siku.

Watendaji wa JF please give credibility to the forums do something to term these demented charaters. Failure to do that, allow us to make direct attacks to their personalities also. Kama haitasababisha hapa pawe uwanja wa fisi.
 
mkwere bwana.. never trust the spiritual leader who cant dance..kweli hatuna rais..this man is a joke

Kuna Rais jamani na si mtu akiance kuna shida gani tena kwenye hafla au party mbona Zuma hamumsemi
 
Back
Top Bottom