Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Kwanza niwe bayana kabisa kabisa Dr.Slaa is a hero...tujiulize hivi ni kwanini leo watanzania tunamkumbuka marehemu M.Sokoine? Mwaka alipokufa ndo nikazaliwa,sikuwahi kumwona akiwa hai,nimejaribu kuulizia historia yake(Sokoine) nilichodokezwa ni kwamba alikuwa ni mtu wa maamuzi ya papo kwa papo kwa masrahi ya wengi
ni mifano ktk hili ipo mingi tu,mwingine ni Mwl.Nyerere,nakumbuka kwa kusoma kwenye historia jinsi alivyowatimua West Germany nchini wakiwa wanajenga chuo kikuu cha Dsm(Nkrumah hall)
Nataka kumwambia Dr. asikubali kulea uozo,kwanza huyo katibu wa chama(Nzega) alitakiwa yeye mwenyewe akubali kujiuzuru mapema kabla hajasimamishwa na Dr.,kwa sababu suala la kuwa alleged on matters unatakiwa kuonesha intergrity yako kwa kutoa mwanya uchunguzi ufanyika ,hii inasaidia kwamba endapo itaonekana madai siyo ya msingi basi utaomba kuendelea na post yako(unapata reputation in leadership) kwa hyo Dr. usife moyo we are behind you
karibu Sikonge tayari tumefungua ofisi tunaendelea kuuwasha moto,karibu sana