sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Huu msemo anaupenda sana Lema wa.CHADEMA "karma.is bitch"
Dr Slaa Alie sikitika wanachama wa.CHADEMA kukusanyika kwenye viunga vya Mahakama kusema Mbowe sio Gaidi Leo hii yupo sero siku ya 28.
Najiliuliza hizi ni siasa TU?
Hivi Magufuli Alie kataliwa na Dr Emanuel Nchimbi kupitishwa na chama kuwa Rais na Samia kuwa Makamu wa Rais ndiye Rais wa Leo na yeye ndo mgombea mwenza aise hii ni Siasa au ni kitu Gani?
Dr Slaa anavuna alichopanda unafiki na chuki dhidi ya Mbowe ndo unao mtesa.