Dr Slaa anastahili anayopitia? Hayati Magufuli fufuka umkute sero, Samia Rais, Nchimbi Makamu, Lissu Mwenyekiti wa chadema

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Huu msemo anaupenda sana Lema wa.CHADEMA "karma.is bitch"

Dr Slaa Alie sikitika wanachama wa.CHADEMA kukusanyika kwenye viunga vya Mahakama kusema Mbowe sio Gaidi Leo hii yupo sero siku ya 28.

Najiliuliza hizi ni siasa TU?

Hivi Magufuli Alie kataliwa na Dr Emanuel Nchimbi kupitishwa na chama kuwa Rais na Samia kuwa Makamu wa Rais ndiye Rais wa Leo na yeye ndo mgombea mwenza aise hii ni Siasa au ni kitu Gani?

Dr Slaa anavuna alichopanda unafiki na chuki dhidi ya Mbowe ndo unao mtesa.
 
Dr Slaa ana haki ya kupatiwa dhamana, acheni kutumia 'mwavuli' wa Karma kuminya haki za watu.
 
Huu msemo anaupenda sana Lema wa.CHADEMA "karma.is bitch"

Dr Slaa Alie sikitika wanachama wa.CHADEMA kukusanyika kwenye viunga vya Mahakama kusema Mbowe sio Gaidi Leo hii yupo sero siku ya 28.

Najiliuliza hizi ni siasa TU?

Hivi Magufuli Alie kataliwa na Dr Emanuel Nchimbi kupitishwa na chama kuwa Rais na Samia kuwa Makamu wa Rais ndiye Rais wa Leo na yeye ndo mgombea mwenza aise hii ni Siasa au ni kitu Gani?

Dr Slaa anavuna alichopanda unafiki na chuki dhidi ya Mbowe ndo unao mtesa.
CHADEMA tunawatetea wote regardless ya mabaya waliotutenda, tumeshawasaidia makada Kibao wa CCM.....Dr Slaa atatoka, akifa tutaendelea na mapigano
 
WAFUASI WA MBOWE MNA SHDA SANA.MMEAMUA KUMALIZIA HASIRA ZENU KWA DR SLAA.DR SLAA NI LEVO NYNGNE NDUGU.
 
Back
Top Bottom