Hapa Kikwete ameisaidiaje hii shule?
mzee slaa aisaidie shule hii ili iendane na kile anachokihubiri slaa
Aisaidie kivipi?
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-
Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22
Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013

hapa tunajadili ya slaa, sio ya kikwete, nawe kaanzishe thred inayohusu kikwete tutachangia