Dr. Slaa Apata Pigo!

Dr. Slaa Apata Pigo!

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,197
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-

Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22

Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013
 
Naona kama watakuwa wamemhujumu vile, tusubiri tusikie atakavyoropoka, sujui atesema ni serikali hata kwenye shule moja tena anayoilea yeye.
 
Angalia na hii na uwe objective katika ku comment kwako.

Yaani shule yenye jina la Rais Kikwete waliofeli ni 110, lakini wewe unaona waliofeli 22 Shule yenye jina Dr. Slaa ndio issue.

attachment.php
 
Hiyo ni shule ya serikali au binafsi? Tumeshaona shule nyingi zenye majina ya wanasiasa na watu maarufu hazikufanya vizuri sio hiyo iliyobatizwa jina la Dr. Slaa aidha iwe ya serikali, binafsi au yake mwenyewe. Kwa hiyo hakuna chaajabu hapa.
 
Hivi wewe MAFILILI huli hulali mpaka umuote Dr SLaa? Kwani yeye ni mmiliki wa hiyo shule? Vipi ile yenye jina la Kikwete?
 
mzee slaa aisaidie shule hii ili iendane na kile anachokihubiri slaa
 
Aisaidie kivipi?

wewe unadhani anaweza kuisaidia kivipi kwa mfano. kwa kuanzia atenge fungu kidogo la fedha anazopata katika shughuli zake aelekeze kwenye kusaidia hiyo shule pamoja na kuwa karibu na uongozi wa shule hiyo kujua tatizo na kutoa ushauri ipasavyo.
 
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-

Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22

Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013

Hii ndio hoja ya hovyo kabisa niliyokutana nayo kwa mwaka 2013.

Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-

Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22

Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013

MAFILIFILI bwana, Jakaya M. Kikwete sec school ziro ziko 110! pamoja na kuwa raisi...fisadi... mihela kibao..misafari ynche kibao...shule yake moja tu imemshinda.
Hoja dhaifu kama raisi wako!
 
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-

Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22

Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013

Nimeshindwa kujizuia kucheka! Umeyapitia na matokeo ya shule iliyopewa jina la bosi wenu kiwete, ooops sorry kikwete, anaewatuma humu?
 
Back
Top Bottom