Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Bado hata mie nina mashaka. Atupatie na namba ya hiyo shule tuione wenyewe kuliko kuongelea hewa. Hawa watu wa Lumumba sii wa kuwaamini hata kidogo,wanaweza kuleta jambo kumbe ni kuwatoa kwenye attention ya jambo jingine muhimu.Serikali hii ya ccm iruhusu shule ya serikali iitwe Dr W. Slaa?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hata hivyo kama shule ya serikali ikiitwa CHAKAZA siwajibiki kwa lolote zaidi ya serikali ambayo ndio inayoimiliki. Jana Old Bagamoyo road imeitwa Mwai Kibaki,jee ikiwa chafu mtamfata Kibaki kumuuliza mbona barabara chafu huifagii? Nimeamini sasa kuna watu humu mkono hauendi kinywani bila kumtaja Dr Slaa.