Dr. Slaa Apata Pigo!

Dr. Slaa Apata Pigo!

Serikali hii ya ccm iruhusu shule ya serikali iitwe Dr W. Slaa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Bado hata mie nina mashaka. Atupatie na namba ya hiyo shule tuione wenyewe kuliko kuongelea hewa. Hawa watu wa Lumumba sii wa kuwaamini hata kidogo,wanaweza kuleta jambo kumbe ni kuwatoa kwenye attention ya jambo jingine muhimu.
Hata hivyo kama shule ya serikali ikiitwa CHAKAZA siwajibiki kwa lolote zaidi ya serikali ambayo ndio inayoimiliki. Jana Old Bagamoyo road imeitwa Mwai Kibaki,jee ikiwa chafu mtamfata Kibaki kumuuliza mbona barabara chafu huifagii? Nimeamini sasa kuna watu humu mkono hauendi kinywani bila kumtaja Dr Slaa.
 
Mmmhhh kumbe hivi!!
Kwa hio hata mtoto wako ukiamua kumuita dr. slaa basi dr atakuwa anawajibika kumlea mtoto yule ili aendane na taswira yake...............basi kama hivyo kuna vyuo vinaitwa oxford, harvard nao wanapaswa kulea hizo shule au wanale??

na kuna baadhi ya barabara pia zina majina ya viongozi wakubwa mfano barabara ya sam nujoma kumbe sam nujoma anapaswa kuilea ile barabara eehhh................i didn't know that!!

Thank you for this!!

mkuu kwa maswali na majibu hayo umemaliza mchezo(3-Bila)......... eti KIBAKI keshapata wajibu wa kuihudumia Old Bagamoyo Road!!
 
Posho zake apeleke kwenye shule ya secondary ya serikali na kodi zetu muendelee kusafiri?
 
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-

Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22


Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013

Wewe unasema Dr Slaa wazriri mwenye dhamana na fuko la serkali kutokana na kodi ya wananchi hajaguswa, mkulu ambaye ndiye mlezi wa shule zote Tz ndo kwanza anapanga safari nyingine ya majuu, unamshangaa Dr Slaa aliyepewa tu nafasi ya heshima!!
 
MAFILILI unaonyesha una upeo mdogo wa kufikiri na chuki binafsi dhidi ya mtu na sio mrekebishaji. Toa maoni namna ya kuboresha elimu na si kushambulia mtu, je shule ya KIKWETE mbona wamefeli husemi? Acha itikadi utaifa mbele dogooo!!!:A S angel:
 
Back
Top Bottom