Dr. Slaa Apata Pigo!

Serikali hii ya ccm iruhusu shule ya serikali iitwe Dr W. Slaa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Bado hata mie nina mashaka. Atupatie na namba ya hiyo shule tuione wenyewe kuliko kuongelea hewa. Hawa watu wa Lumumba sii wa kuwaamini hata kidogo,wanaweza kuleta jambo kumbe ni kuwatoa kwenye attention ya jambo jingine muhimu.
Hata hivyo kama shule ya serikali ikiitwa CHAKAZA siwajibiki kwa lolote zaidi ya serikali ambayo ndio inayoimiliki. Jana Old Bagamoyo road imeitwa Mwai Kibaki,jee ikiwa chafu mtamfata Kibaki kumuuliza mbona barabara chafu huifagii? Nimeamini sasa kuna watu humu mkono hauendi kinywani bila kumtaja Dr Slaa.
 

mkuu kwa maswali na majibu hayo umemaliza mchezo(3-Bila)......... eti KIBAKI keshapata wajibu wa kuihudumia Old Bagamoyo Road!!
 
Posho zake apeleke kwenye shule ya secondary ya serikali na kodi zetu muendelee kusafiri?
 

Wewe unasema Dr Slaa wazriri mwenye dhamana na fuko la serkali kutokana na kodi ya wananchi hajaguswa, mkulu ambaye ndiye mlezi wa shule zote Tz ndo kwanza anapanga safari nyingine ya majuu, unamshangaa Dr Slaa aliyepewa tu nafasi ya heshima!!
 
MAFILILI unaonyesha una upeo mdogo wa kufikiri na chuki binafsi dhidi ya mtu na sio mrekebishaji. Toa maoni namna ya kuboresha elimu na si kushambulia mtu, je shule ya KIKWETE mbona wamefeli husemi? Acha itikadi utaifa mbele dogooo!!!:A S angel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…