Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-
Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22
Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013
Sumu ........:yo:
kuna mahusiano yapi kati ya mshahara wa dr slaa na hiyo shule kufelisha?? tatizo la mitaala hulioni unakodolea mimacho slary slip za wengine, wivu wa kiiiiik.......................eeeeeeDr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-
Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22
Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013
Angalia na hii na uwe objective katika ku comment kwako.
Yaani shule yenye jina la Rais Kikwete waliofeli ni 110, lakini wewe unaona waliofeli 22 Shule yenye jina Dr. Slaa ndio issue.
![]()
![]()
Hapa Kikwete ameisaidiaje hii shule?
Watu bwana, tunajua unawaza zile hela ambazo huwa mnaongelea za dr milion 7, hivi hi shule ingafaulisha watoto gata wote hii aibu ingetutoka kweli,Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-
Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22
Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013
Umeona ya KIKWETE, na ya MAMA SALMA JE?mzee slaa aisaidie shule hii ili iendane na kile anachokihubiri slaa
Angalia na hii na uwe objective katika ku comment kwako.
Yaani shule yenye jina la Rais Kikwete waliofeli ni 110, lakini wewe unaona waliofeli 22 Shule yenye jina Dr. Slaa ndio issue.
![]()
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-
Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22
Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013
Dr. Slaa amepatwa na dhoruba kupitia matokeo ya kidato cha nne 2012 kutokana na shule anayoilea kufanya vibaya sana tofauti na twasira yake miongoni mwa wananchi waliamua kuita shule husika jina lake. Wana jamvi tujiulize Dr. Slaa pamoja na kupata posho kubwa ya mwezi ameshindwa kutoa msaada wa kutatua tatizo la kielimu katika shule husika na hivyo kupata matokeo ya aibu kama yanavyoonekana hapa chini;-
Dr. Wilbroad Slaa Secondary School
Div 1=0, Div II =0, Div III =0, Div IV=17 FLD =22
Huu ni wakati muafaka kwa Dr. Slaa kuzinduka na kuisadia shule hii ili iondokane na matokeo mabaya mwaka 2013
Ni nini maana ya kuwa mlezi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Angalia na hii na uwe objective katika ku comment kwako.
Yaani shule yenye jina la Rais Kikwete waliofeli ni 110, lakini wewe unaona waliofeli 22 Shule yenye jina Dr. Slaa ndio issue.
![]()
1. Kuheshimiana ndio jambo kubwa kabisa ninalolithamini, na sioni kama usingeweza kujenga hoja yako bila kutumia maneno uliyotumia.Huu ndio ujinga wenyewe. Yaani unafananisha uozo wa fulani kuwa ndio kigezo cha fulani kuoza! Ipo siku utasema, mbona Zimbabwe fedha zao hazina thamani na nchi Yao masikini kwa hivyo na kwetu ndio maana pako hivi. Ujinga huo.