Hellow Tanganyika!
Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.
Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?
1. Je ni Lowwassa?
2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?
3. Je ni no1& no 2 Kwa pamoja?
Karibu Dr Slaa uraiani na CHADEMA,
MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏