Pre GE2025 Dr Slaa: Kilichonitoa CHADEMA 2015 sasa hakipo

Pre GE2025 Dr Slaa: Kilichonitoa CHADEMA 2015 sasa hakipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bonge la Trojan! Karibu Chadema bwana Slaa lakini uwezo wako wa kuharibu kwa sasa ni mkubwa kuliko wa kujenga
 
Bonge la Trojan! Karibu Chadema bwana Slaa lakini uwezo wako wa kuharibu kwa sasa ni mkubwa kuliko wa kujenga
Dr Slaa amechangia kukuza viongozi wengi CDM na kuwajenga kina Zitto, Mnyika, Lema, Mdee nk nk!

Sasa akijenge chama Kwa JASHO na Damu ,iweje tena akihujumu?

Waliohujumu chama wamekataliwa kwenye uchaguzi uliopita.

Dr Slaa ni victor!
 
Ndio mzalendo Hasa. Hilo nalo ni LA kujadili?
Si ndiye aliyejenga International Airport kwao chato na kutupiga 1.5 tr na kumfukuza CAG baada ya kuumbuliwa. Na ndiye huyo huyo sababu ya kupotea kwa Ben saa nane kisa PhD fake. Wewe kwako unamuona mzalendo, aissee duniani kuna mambo
 
2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?
Wenyeviti wastaafu Chadema ni wawili tuu, mzee Mtei na Makani Bob.

Mbowe hajastaafu, amenyimwa kura za kuendelea na uenyekiti. Amekataliwa, tuache politiksi.

Labda sasa atangaze amestaafu siasa lakini kwenye uenyekiti huyu sio mstaafu. Vipi kama angeshinda leo tungesemaje?
 
Wenyeviti wastaafu Chadema ni wawili tuu, mzee Mtei na Makani Bob.

Mbowe hajastaafu, amenyimwa kura za kuendelea na uenyekiti. Amekataliwa, tuache politiksi.

Labda sasa atangaze amestaafu siasa lakini kwenye uenyekiti huyu sio mstaafu. Vipi kama angeshinda leo tungesemaje?
Basi tuseme ni Mwenyekiti aliyestaafishwa na wanachama kupitia Sanduku la kura.
 
Dr anatafuta fursa ya kuja kukivuruga tena chama. Nakumbuka alidai kuwa Chadema walimpiga wenyewe risasi Lisu, ili kumuangushia jumba bovu raisi Magufuli.

Sasa huu ndio muda wa yeye kutuambia ni nani aliempa hizo habari za Chadema kumpiga risasi Lisu, na nani na nani walihusika na mpango huo ili chama kiwachukulie hatua?
Kwa uzee huo alionao sioni kama ana anachoweza kuvuruga! Huyo katoka huko alikoachiwa sasa ana hasira na anatafuta jukwaa la kuonyesha hasira zake!
 
Sahihi kabisa. Halafu Dk. Slaa is a failure everywhere;
a) Alishindwa kanuni za Upadre za useja (celibacy) akafukuzwa Upadre.

b) Akafukuzwa CCM baada ya kuamini hakuna anayeweza kuwa Mbunge wa Karatu mwaka 1995 kupitia CCM isipokuwa yeye.

c) Akaondoka Chadema mwaka 2015 kwasababu aliamini hakuna Mwana Chadema anaweza kugombea Urais kupitia Chadema isipokuwa yeye.

d) Akaufyata kipindi chote cha Jiwe akijua kabisa ya kwamba Jiwe hacheki na nyani hadi akakubali uteuzi wa Jiwe kuwa Balozi.

e) Akaondolewa hadhi ya Ubalozi baada ya kustaafu kwasababu yeye alitaka aendelee kuwa Balozi hadi kufa kitu ambacho Tanzania hakipo.

f) Sasa anarudi Chadema. CCM tunashukuru kuondoka kwa kirusi kibaya zaidi ya cha COVID 19 ndani ya CCM. Bila shaka Mch. Msigwa atamfuata.

Chadema kaeni Makao wa kula kukipokea kirusi Dk. Slaa. Na msisahau dadaangu Mushumbusi aliishambwaga huyu Dk. Slaa kama alivyoachwa na mkewe wa kwanza. Mzee mzima anaachwa na wake wawili na watoto anajipikia kwa umri huo, eti ndio alete ukombozi wa nchi hii? PUMBAVU!!!
Dah inasisimua kwenda kwenye ukweli hv mzee 80s atafanya nn nchi hii
 
Kwa uzee huo alionao sioni kama ana anachoweza kuvuruga! Huyo katoka huko alikoachiwa sasa ana hasira na anatafuta jukwaa la kuonyesha hasira zake!
Hasira njema,

Maana tumeruhusiwa kukasirikia UOVU ila tusiende dhambi.

Kuchukia UOVU wa CCM ni Haki kabisa.
 
Kwa hiyo kesho kikitokea kitu hakipendi atakimbia tena Chadema? huwezi kukifanya chama kama mke lini unatoa talaka na lini unamuowa tena. Chama ni kuvumilia hata kama yako yamekukwaza lakini wengi wameunga mkono huna budi kwenda nao ndio maana ya demokrasia. Ukinuna unaondoka ukifurahi unakuja.
 
Hellow Tanganyika!

Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.

Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?

1. Je ni Lowwassa?

2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?

3. Je ni no1& no 2 Kwa pamoja?

Karibu Dr Slaa uraiani na CHADEMA,

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Self centered old fert

Aseme pia kilichompeleka ccm sasa hakipo
 
Kuna watu humu wanamuona Dr Slaa msaliti,

Sasa kati ya Mbowe na Slaa, nani msaliti!

Dr Slaa arejeshwe CDM haraka CDM, ni mshindi.
Wote wasaliti tu

Huyu babu alibariki risasi Kwa Lissu
 
Back
Top Bottom