- Thread starter
- #61
CCM Slaa alirudi Lini?Self centered old fert
Aseme pia kilichompeleka ccm sasa hakipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM Slaa alirudi Lini?Self centered old fert
Aseme pia kilichompeleka ccm sasa hakipo
Yaani huyu mzee Slaa na mwenzake Lipumba sio watu wa kuwaamini kabisa. Hao ni wazee wa kuchomoa betri dakika za jioni kabisa. Na Mungu alivyo fundi sasa hivi sio Lipumba au Slaa anayeweza kuzungumza kwenye vyombo vya habari halafu watanzania wakaacha shughuli zao wakae wawasikilize. Sitawashangaa CHADEMA wakimpokea tena ila nitawashangaa wakimpa uongozi. Huyo Mzee Slaa apokelewe tu kama mwanachama wa kawaida lakini asipewe hata uongozi wa tawi abaki mwananchama wa kawaida kabisa. Kwanza huko CHADEMA amesahau nini au ana jipya lipi. Na kama uongozi utampokea na kumpa uongozi basi itadhihirika wazi upeo wa uongozi na kuchanganua mambo ni mdogo kiasi gani.Can't trust this man
Kwani aliwahi kuondoka ccm?CCM Slaa alirudi Lini?
Rejea Uzi wa Dark days utajua mhusika wa tukio la Lissu. Nani alikuwa nyuma ya tukio lileWote wasaliti tu
Huyu babu alibariki risasi Kwa Lissu
Hata alipomuoaa Rose, akamsaliti tena na Josephine.Sahihi kabisa. Halafu Dk. Slaa is a failure everywhere;
a) Alishindwa kanuni za Upadre za useja (celibacy) akafukuzwa Upadre.
b) Akafukuzwa CCM baada ya kuamini hakuna anayeweza kuwa Mbunge wa Karatu mwaka 1995 kupitia CCM isipokuwa yeye.
c) Akaondoka Chadema mwaka 2015 kwasababu aliamini hakuna Mwana Chadema anaweza kugombea Urais kupitia Chadema isipokuwa yeye.
d) Akaufyata kipindi chote cha Jiwe akijua kabisa ya kwamba Jiwe hacheki na nyani hadi akakubali uteuzi wa Jiwe kuwa Balozi.
e) Akaondolewa hadhi ya Ubalozi baada ya kustaafu kwasababu yeye alitaka aendelee kuwa Balozi hadi kufa kitu ambacho Tanzania hakipo.
f) Sasa anarudi Chadema. CCM tunashukuru kuondoka kwa kirusi kibaya zaidi ya cha COVID 19 ndani ya CCM. Bila shaka Mch. Msigwa atamfuata.
Chadema kaeni Makao wa kula kukipokea kirusi Dk. Slaa. Na msisahau dadaangu Mushumbusi aliishambwaga huyu Dk. Slaa kama alivyoachwa na mkewe wa kwanza. Mzee mzima anaachwa na wake wawili na watoto anajipikia kwa umri huo, eti ndio alete ukombozi wa nchi hii? PUMBAVU!!!
Na lini aliondoka CHADEMA?Kwani aliwahi kuondoka ccm?
Kuisaliti CCM ni jambo jema?Hata alipomuoaa Rose, akamsaliti tena na Josephine.
"Usaliti ni kama Kula nyama ya Mtu, hutakaa uache" NYERERE
Seriously kama kuna mistake ambayo CHADEMA wanaifanya ni kumuamini huyo nyoka aina ya swila, kilichomtoa CHADEMA anadai hakipo je kilichompeleka CCM na chenyewe hakipo.Hellow Tanganyika!
Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.
Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?
1. Je ni Lowwassa?
2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?
3. Je ni no1& no 2 Kwa pamoja?
Karibu Dr Slaa uraiani na CHADEMA,
MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Uko sahihi mkuu.Kwa hiyo kesho kikitokea kitu hakipendi atakimbia tena Chadema? huwezi kukifanya chama kama mke lini unatoa talaka na lini unamuowa tena. Chama ni kuvumilia hata kama yako yamekukwaza lakini wengi wameunga mkono huna budi kwenda nao ndio maana ya demokrasia. Ukinuna unaondoka ukifurahi unakuja.
Mimi binafsi ukiniuliza uovu wa CCM uko wapi sina jibu!Hasira njema,
Maana tumeruhusiwa kukasirikia UOVU ila tusiende dhambi.
Kuchukia UOVU wa CCM ni Haki kabisa.
Uko sahihi kabisa kuhusu Slaa, huyo mzee ni kirusi na kwa CHADEMA huyo two headed serpent ndiyo itakuwa source ya anguko lao.Sahihi kabisa. Halafu Dk. Slaa is a failure everywhere;
a) Alishindwa kanuni za Upadre za useja (celibacy) akafukuzwa Upadre.
b) Akafukuzwa CCM baada ya kuamini hakuna anayeweza kuwa Mbunge wa Karatu mwaka 1995 kupitia CCM isipokuwa yeye.
c) Akaondoka Chadema mwaka 2015 kwasababu aliamini hakuna Mwana Chadema anaweza kugombea Urais kupitia Chadema isipokuwa yeye.
d) Akaufyata kipindi chote cha Jiwe akijua kabisa ya kwamba Jiwe hacheki na nyani hadi akakubali uteuzi wa Jiwe kuwa Balozi.
e) Akaondolewa hadhi ya Ubalozi baada ya kustaafu kwasababu yeye alitaka aendelee kuwa Balozi hadi kufa kitu ambacho Tanzania hakipo.
f) Sasa anarudi Chadema. CCM tunashukuru kuondoka kwa kirusi kibaya zaidi ya cha COVID 19 ndani ya CCM. Bila shaka Mch. Msigwa atamfuata.
Chadema kaeni Makao wa kula kukipokea kirusi Dk. Slaa. Na msisahau dadaangu Mushumbusi aliishambwaga huyu Dk. Slaa kama alivyoachwa na mkewe wa kwanza. Mzee mzima anaachwa na wake wawili na watoto anajipikia kwa umri huo, eti ndio alete ukombozi wa nchi hii? PUMBAVU!!!
Mbowe ndo msaliti alikubali kumuingiza mtu waliyemwita fisadi kwenye chamaKuna watu humu wanamuona Dr Slaa msaliti,
Sasa kati ya Mbowe na Slaa, nani msaliti!
Dr Slaa arejeshwe CDM haraka CDM, ni mshindi.
Mzee Lowasa alikuwa anajua anachokifanya kwahiyo alikuwa anachunga kauli zake!Ya kale ni Dhahabu! Akaribishwe CDM ili aendeleze jitihada za kuitetea Demokrasia ya Kweli Tanzania.
Kama the late Lowassa alirudi CCM pamoja na kuirarua kwenye uchaguzi wa 2015 akapokelewa,Dr.Slaa naye arudi CDM apokelewe.
Mbona wasira aba miaka zaidi ya 80 lakini bado anachapa kazi? Umri ni namba tuDah inasisimua kwenda kwenye ukweli hv mzee 80s atafanya nn nchi hii
-KutekaMimi binafsi ukiniuliza uovu wa CCM uko wapi sina jibu!
Ninachoona CCM wanajenga na kikarabati barabara, wanajenga mashule, wanajenga mahospitali na kuyanunulia vifaa tiba vya kisasa, wanazidi kupelekwa umeme katika vijiji ambavyo havijafikiwa na umeme, jana au juzi mama Samia katoa boti za uvuvi nyingi sana kwa ajili ya kuboresha uvuvi katika bahari ya Hindi huko mkoani Tanga na hii sio mara ya kwanza kwani alishafanya kitu kama hicho huko mkoani Lindi.
Je haya ndiyo yanayogaa kuitwa uovu wa CCM?!
Slaa ni mwanasiasa mzoefu, akipewa hata unaibu katibu mkuu, atakipeleka chama mbeleYaani huyu mzee Slaa na mwenzake Lipumba sio watu wa kuwaamini kabisa. Hao ni wazee wa kuchomoa betri dakika za jioni kabisa. Na Mungu alivyo fundi sasa hivi sio Lipumba au Slaa anayeweza kuzungumza kwenye vyombo vya habari halafu watanzania wakaacha shughuli zao wakae wawasikilize. Sitawashangaa CHADEMA wakimpokea tena ila nitawashangaa wakimpa uongozi. Huyo Mzee Slaa apokelewe tu kama mwanachama wa kawaida lakini asipewe hata uongozi wa tawi abaki mwananchama wa kawaida kabisa. Kwanza huko CHADEMA amesahau nini au ana jipya lipi. Na kama uongozi utampokea na kumpa uongozi basi itadhihirika wazi upeo wa uongozi na kuchanganua mambo ni mdogo kiasi gani.
Kauli zake tata juu ya CHADEMA zinamuhukumu, mara ndani ya CHADEMA kuna kundi la utekaji, msaidizi wangu alitekwa na watu ndani ya CHADEMA, nawashangaa wanaosema Mbowe sio gaidi, Inawezekana Lisu kashambuliwa na CHADEMA wenyewe n.k. Huyo mzee ni mtu mnafiki sana na anapenda sana visasi. Hebu fikiria yeye ndiye aliyemleta Lowasa CHADEMA according to Lisu halafu alipoona Lowasa kapewa nafasi ya kugombea uraisi akaondoka CHADEMA kwa hasira na kuanza kuitukana CHADEMA na Mzee Mbowe. Haya akaenda CCM akapewa ubalozi alipoondoolewa tu ubalozi akaanza kuitukana serikali, CCM na akaenda mbali zaidi kila siku kumzushia raisi mambo ya uongo. Yaani mara nyingi hata ukimsikiliza unaona kabisa ana chuki binafsi na Mbowe na raisi kitu ambacho kinamuondolewa sifa ya kuwa kiongozi mzuri kwani anaweza kabisa kujenga hoja bila ya kuingiza chuki binafsi.
Nafikiri watu waliopo karibu naye au hata watoto wake wangemshauri kwa umri aliofikia aachane kabisa na siasa amrudie Mungu afanye toba kwa usaliti wa kiapo cha upadri na kuwasaliti watanzania.
Ni mtizamo tu.
Slaa hakuwahi kurudi CCM, alichofanya ni kuachana na siasa lakini hakuwahi kupewa kadi wala kuvaa nguo za CCM wala hata kwenye makutano ya CCM hakuwahi kushiriki!Seriously kama kuna mistake ambayo CHADEMA wanaifanya ni kumuamini huyo nyoka aina ya swila, kilichomtoa CHADEMA anadai hakipo je kilichompeleka CCM na chenyewe hakipo.
Issue si kutoka CHADEMA bali kuingia CCM na kusagia kunguni wanaharakati pamoja na harakati zenyewe, he is nothing but just an opportunist.
Naona mambo mawili:
-Jiwe ndiye alikuwa akimpa ulaji hiki kibibi kimemtupa hivyo anahaha.
-Huyo ni pandikizi(hili ndiyo ninaliliamini zaidi) na hata ile kuropoka na kuwekwa ndani was just a game kuwahadaa CHADEMA wamuamini(those who don't scrutinize deep) na anaweza akawalipulia bomu at a very critical,delicate and unexpected moment akawa amewarudisha nyuma hatua milioni moja.
NB: Atolee ufafanuzi whatever transpired kipindi anapelekwa Lowassa CHADEMA na claims za Gwajima kwamba kilichomtoa ni control ya 'madame' Mushumbusi kuona anaukosa u-first lady na kwa nini baada ya kutoka kwa nini hakuwa neutral na kuwaacha wapambania mageuzi waendelee bali akawa against nao huku wakipitia madhila ya kuteseka,kutekwa na kuuawa na utawala dhalimu wa Jiwe na pia aeleze what was he thinking teaming up with Jiwe aliyekuwa dhalimu wa waziwazi akiongoza kundi la mauaji la wasiojulikana, naye mikono yake(indirectly) imejaa damu za watu.
Believing in political systems and politicians ni aina mojawapo ya upumbavu, this whole shit damn....! I'm just thinking my own damn way.
Mmebadilika tena si tuliambiwa Mbowe Mzee apumzike chama kiendeshwe na vijana sasa huyu Dr. Slaa amekuwa kijana?Slaa ni mwanasiasa mzoefu, akipewa hata unaibu katibu mkuu, atakipeleka chama mbele
Sawa Mkuu nimekuelewaKimfumo alimleta sababu alikuwa katibu mkuu,
Mkt alipenyeza shinikizo ndani ya viongozi na katibu mkuu hakuwa na namna, ndio maana Lissu lidai Yeye na Mnyika walipewa taarifa so lately.
Ndio sababu ikambidi aachie ngazi sababu personally hakuwa tayari kumsafisha.
Dr Slaa ni victor. Lowassa alikuwa liability Kwa CDM, wengi tulivunjwa moyo Kwa ujio wake, tukaumuunga mkono mzalendo Magu.