Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Jibu ni Namba 2
Naamini ilitokana na maamuzi ya Mstaafu katika sakata lile la Bandari. Utanganyika
Inasadikika hakupewa ushirikiano aliokuwa anataka na kupenda.
Aliamini, naamini, kile kilikuwa ni kipindi kizuri, yaani kilikuwa kipindi muafaka na fursa kubwa ya kukibwaga CCM jalalani.
Mnafikiri nani angepata Credit ya uangusho wa CCM? ukizingatia ilituchukua CDM mda mrefu, wiki mbili? (Nipo teyari kusahihishwa) kutoa tamko kuhusu sakata lile?
....niache hapo