Pre GE2025 Dr Slaa: Kilichonitoa CHADEMA 2015 sasa hakipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jibu ni Namba 2

Naamini ilitokana na maamuzi ya Mstaafu katika sakata lile la Bandari. Utanganyika

Inasadikika hakupewa ushirikiano aliokuwa anataka na kupenda.

Aliamini, naamini, kile kilikuwa ni kipindi kizuri, yaani kilikuwa kipindi muafaka na fursa kubwa ya kukibwaga CCM jalalani.

Mnafikiri nani angepata Credit ya uangusho wa CCM? ukizingatia ilituchukua CDM mda mrefu, wiki mbili? (Nipo teyari kusahihishwa) kutoa tamko kuhusu sakata lile?

....niache hapo
 
Dr anatafuta fursa ya kuja kukivuruga tena chama. Nakumbuka alidai kuwa Chadema walimpiga wenyewe risasi Lisu, ili kumuangushia jumba bovu raisi Magufuli.

Sasa huu ndio muda wa yeye kutuambia ni nani aliempa hizo habari za Chadema kumpiga risasi Lisu, na nani na nani walihusika na mpango huo ili chama kiwachukulie hatua?
Yawezekana kabisaaa, ndivyo ilivyokuwa. Kunakofuka moshi, hakukosi moto.
 
Au alinunuliwa ili akiyumbishe chama na baadae akapewa zawadi ya ubalozi
Magufuli(R.I.P) pamoja na ulimbukeni wake wa Kisiasa, alimuogopa zaidi Dr. SLAA kuliko Mstaafu.

Kitendo chake cha kumpeleka Dr. SLAA Ubalozini kilikuwa ni kumnyamazisha kidiplomasia(How ironic).

Mstaafu alishughulikiwa kwa mbinu zake mwenyewe.

Unaeza kusema alinunuliwa, ila kiuhalisia hanunuliki. Muulizeni DPP
 
Hellow Tanganyika!

Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.

Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?

1. Je ni Lowwassa?

2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?

3. Je ni no1& no 2 Kwa pamoja?

Karibu Dr Slaa uraiani na CHADEMA,

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Inachanganya
Lissu alisema "...aliyeshauri Chadema 2015 imchukue Llowasa ni W. Slaa"
Swali: Kama Slaa ndiye aliyeshauri? Vipi amkimbie?
 
Dr Slaa Hana Bei.
 
Inachanganya
Lissu alisema "...aliyeshauri Chadema 2015 imchukue Llowasa ni W. Slaa"
Swali: Kama Slaa ndiye aliyeshauri? Vipi amkimbie?
Kimfumo alimleta sababu alikuwa katibu mkuu,

Mkt alipenyeza shinikizo ndani ya viongozi na katibu mkuu hakuwa na namna, ndio maana Lissu lidai Yeye na Mnyika walipewa taarifa so lately.

Ndio sababu ikambidi aachie ngazi sababu personally hakuwa tayari kumsafisha.

Dr Slaa ni victor. Lowassa alikuwa liability Kwa CDM, wengi tulivunjwa moyo Kwa ujio wake, tukaumuunga mkono mzalendo Magu.
 
Arudi asaidie chama pamoja na TL hasa kuongoza chama na ilani ya Uchaguzi
 
Hellow Tanganyika!

Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.

Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?

1. Je ni Lowwassa?

2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?

3. Je ni no1& no 2 Kwa pamoja?

Karibu Dr Slaa uraiani na CHADEMA,

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Ikiwa yeye ndio kikwazo tutajuaje? Hata hivyo haaminiki tena
 
Dr Slaa upstairs Yuko njema, ndio maana Lema akakataa ukatibu mkuu maana Si KAZI ndogo,

Ujio wa Slaa utamsaidia zaidi Mnyika kuwa imara kimilakati.
 
Hellow Tanganyika!

Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.

Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?

1. Je ni Lowwassa?

2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?

3. Je ni no1& no 2 Kwa pamoja?

Karibu Dr Slaa uraiani na CHADEMA,

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Can't trust this man
 
Ikiwa yeye ndio kikwazo tutajuaje? Hata hivyo haaminiki tena
Dr Slaa anaaminika na kueleweka na Watanzania,

Mimi binabsi ningekuwa kiongozi CDM, ningepishana na Lowwassa mlangoni.

HOJA za Lissu kutaka uenyekiti ndio zile zile alizosimamia Dr Slaa.
 
Mzee usitiuingize chaka
Nawe unaamini mtu mmoja Lowwassa ndiye aliyeleta kura nyingi na wabunge wale Kwa kuingia CDM ndani ya miezi miwili?

CDM ilikuwa imara hata kabla ya ujio wa Lowwassa Kwa kujengwa na Dr Slaa.

Na ikiwa Lowassa aliingia na pesa chafu, Lissu na Slaa wanaingia kwenye msimamo mmoja wa kizalendo.
 
Dr anatafuta fursa ya kuja kukivuruga tena chama. Nakumbuka alidai kuwa Chadema walimpiga wenyewe risasi Lisu, ili kumuangushia jumba bovu raisi Magufuli.

Sasa huu ndio muda wa yeye kutuambia ni nani aliempa hizo habari za Chadema kumpiga risasi Lisu, na nani na nani walihusika na mpango huo ili chama kiwachukulie hatua?
Hata nyie mlishindwa kusoma alama za nyakati, (situational analysis)
 
Kimfumo alimleta sababu alikuwa katibu mkuu,

Mkt alipenyeza shinikizo ndani ya viongozi na katibu mkuu hakuwa na namna, ndio maana Lissu lidai Yeye na Mnyika walipewa taarifa so lately.

Ndio sababu ikambidi aachie ngazi sababu personally hakuwa tayari kumsafisha.

Dr Slaa ni victor. Lowassa alikuwa liability Kwa CDM, wengi tulivunjwa moyo Kwa ujio wake, tukaumuunga mkono mzalendo Magu.
Jiwe alikuwa mzalendo 🤔🤔🤔🤔🤔
 
Can't trust this man
Bt you trusted Lowwassa!

Alichokifanya Dr Slaa na alichokifanya Lema ni kile kile.

Kujiweka pembeni Kwa kitu usichokiamini.

Na Kwakuwa hakurudi CCM, Bado ana nafasi CDM!

Mchango wa Dr Slaa na commitment yake ndani ya CDM Si ya kutiliwa shaka.
 
Back
Top Bottom