sawa atawaambiaDr anatafuta fursa ya kuja kukivuruga tena chama. Nakumbuka alidai kuwa Chadema walimpiga wenyewe risasi Lisu, ili kumuangushia jumba bovu raisi Magufuli.
Sasa huu ndio muda wa yeye kutuambia ni nani aliempa hizo habari za Chadema kumpiga risasi Lisu, na nani na nani walihusika na mpango huo ili chama kiwachukulie hatua?
Muulize maswali hayo Dr Slaa kwenye Uzi special,atakujibu ipasavyo.Dr anatafuta fursa ya kuja kukivuruga tena chama. Nakumbuka alidai kuwa Chadema walimpiga wenyewe risasi Lisu, ili kumuangushia jumba bovu raisi Magufuli.
Sasa huu ndio muda wa yeye kutuambia ni nani aliempa hizo habari za Chadema kumpiga risasi Lisu, na nani na nani walihusika na mpango huo ili chama kiwachukulie hatua?
Sahihi kabisa. Halafu Dk. Slaa is a failure everywhere;Dr anatafuta fursa ya kuja kukivuruga tena chama. Nakumbuka alidai kuwa Chadema walimpiga wenyewe risasi Lisu, ili kumuangushia jumba bovu raisi Magufuli.
Sasa huu ndio muda wa yeye kutuambia ni nani aliempa hizo habari za Chadema kumpiga risasi Lisu, na nani na nani walihusika na mpango huo ili chama kiwachukulie hatua?
Sasa ulipaswa kufurahi kirusi kuingia CHADEMA ambao ni WAPINZANI wako kuliko kubeba makasiriko.Sahihi kabisa. Halafu Dk. Slaa is a failure everywhere;
a) Alishindwa kanuni za Upadre za useja (celibacy) akafukuzwa Upadre.
b) Akafukuzwa CCM baada ya kuamini hakuna anayeweza kuwa Mbunge wa Karatu mwaka 1995 kupitia CCM isipokuwa yeye.
c) Akaondoka Chadema mwaka 2015 kwasababu aliamini hakuna Mwana Chadema anaweza kugombea Urais kupitia Chadema isipokuwa yeye.
d) Akaondolewa hadhi ya Ubalozi baada ya kustaafu kwasababu yeye alitaka aendelee kuwa Balozi hadi kufa kitu ambacho Tanzania hakipo.
e) Sasa anarudi Chadema. CCM tunashukuru kuondoka kwa kirusi kibaya zaidi ya cha COVID 19 ndani ya CCM. Bila yna Mch. Msigwa atamfuata.
Chadema kaeni Makao wa kula kukipokea kirusi Dk. Slaa. Na msisahau dadaangu Mushumbusi aliishambwaga huyu Dk. Slaa kama alivyoachwa na mkewe wa kwanza. Mzee mzima anaachwa na wake wawili na watoto anajipikia kwa umri huo, eti ndio alete ukombozi wa nchi hii? PUMBAVU!!!
Kwani nimekasirika? Au umesoma hukuelewa?Sasa ulipaswa kufurahi kirusi kuingia CHADEMA ambao ni WAPINZANI wako kuliko kubeba makasiriko.
Uamuzi ni juu ya CHADEMA.
Mbaya wa lissu alikuwa mbowe. Baada ya Dr slaa kumuunga mkono kumuondoa mbowe lissu kaona Dr slaa kafanya kazi kubwaDr anatafuta fursa ya kuja kukivuruga tena chama. Nakumbuka alidai kuwa Chadema walimpiga wenyewe risasi Lisu, ili kumuangushia jumba bovu raisi Magufuli.
Sasa huu ndio muda wa yeye kutuambia ni nani aliempa hizo habari za Chadema kumpiga risasi Lisu, na nani na nani walihusika na mpango huo ili chama kiwachukulie hatua?
Dr Slaa akikaribishwa CHADEMA hupasi kuumia.Kwani nimekasirika? Au umesoma hukuelewa?
Sasa nijibu vipi maswali yanayomhusu mtu mungine?Muulize maswali hayo Dr Slaa kwenye Uzi special,atakujibu ipasavyo.
Karibu ujibu maswali ya HOJA hapo juu🙏
Kiukweli NITAFURAHI SANA! Naamini unaufahamu msemo wa, "waache wafu wazikane"! Ahahahahaha!!Dr Slaa akikaribishwa CHADEMA hupasi kuumia.
Lile wimbi la viongozi wa CHADEMA kuhamia CCM ilimeyeyukia wapi?Mbaya wa lissu alikuwa mbowe. Baada ya Dr slaa kumuunga mkono kumuondoa mbowe lissu kaona Dr slaa kafanya kazi kubwa
Ujio wa Dr Slaa CHADEMA, utamsaidia sana M yika na team yake kuandaa Ilani ya Uchaguzi Bora sana.Kiukweli NITAFURAHI SANA! Naamini unaufahamu msemo wa, "waache wafu wazikane"! Ahahahahaha!!
Dr kila anachogusa kinamshinda, inasemekana hata huyo Mushumbushi kamshindwa kitandani akatoswa.Sahihi kabisa. Halafu Dk. Slaa is a failure everywhere;
a) Alishindwa kanuni za Upadre za useja (celibacy) akafukuzwa Upadre.
b) Akafukuzwa CCM baada ya kuamini hakuna anayeweza kuwa Mbunge wa Karatu mwaka 1995 kupitia CCM isipokuwa yeye.
c) Akaondoka Chadema mwaka 2015 kwasababu aliamini hakuna Mwana Chadema anaweza kugombea Urais kupitia Chadema isipokuwa yeye.
d) Akaufyata kipindi chote cha Jiwe akijua kabisa ya kwamba Jiwe hacheki na nyani hadi akakubali uteuzi wa Jiwe kuwa Balozi.
e) Akaondolewa hadhi ya Ubalozi baada ya kustaafu kwasababu yeye alitaka aendelee kuwa Balozi hadi kufa kitu ambacho Tanzania hakipo.
f) Sasa anarudi Chadema. CCM tunashukuru kuondoka kwa kirusi kibaya zaidi ya cha COVID 19 ndani ya CCM. Bila yna Mch. Msigwa atamfuata.
Chadema kaeni Makao wa kula kukipokea kirusi Dk. Slaa. Na msisahau dadaangu Mushumbusi aliishambwaga huyu Dk. Slaa kama alivyoachwa na mkewe wa kwanza. Mzee mzima anaachwa na wake wawili na watoto anajipikia kwa umri huo, eti ndio alete ukombozi wa nchi hii? PUMBAVU!!!
All the best!Ujio wa Dr Slaa CHADEMA, utamsaidia sana M yika na team yake kuandaa Ilani ya Uchaguzi Bora sana.
Dr Slaa ni Asset!
Huyu Mzee HAWEZI kitu. Kelele tu kama Lissu.Dr kila anachogusa kinamshinda, inasemekana hata huyo Mushumbushi kamshindwa kitandani akatoswa.
Au alinunuliwa ili akiyumbishe chama na baadae akapewa zawadi ya ubaloziHellow Tanganyika!
Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.
Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?
1. Je ni Lowwassa?
2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?
3. Je ni no1& no 2 Kwa pamoja?
Karibu Dr Slaa uraiani na CHADEMA,
MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏