Pre GE2025 Dr Slaa: Kilichonitoa CHADEMA 2015 sasa hakipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata leo zitto akitaka kurudi chadema atapokelewa tu, kuhama chama kimoja na kwenda kingine sio dhambi, kuna watu hawahami vyama wapo muda wote lkn ni masnich refer mchome, sasa si bora slaa kuliko akina mchome
 
Mwenye akili anafahamu ni nini kilitokea
 
Namba 1 na 2 vilichangia sana
 
Ubabe wa mwendazake case closed
 
Chadema haikufifia kwa kurudi kwa Lowasa na Sumaye ccm. Chadema ilipoteza dira kwa kumpinga JPM kwenye mambo ya na baadhi ya mambo wao walikuwa wakiyalalamikia enzi za nyuma. Na hapo ndipo chadema ilipoteza popularity pamoja na fact nyingi. Yafuatayo ni baadhi ya mambo yaliyowapotezea imani chadema mbele ya wananchi.
1. Kumpinga JPM issue ya makinikia na magwangala.
2. Kumshutumu JPM kwa nibi asafiri nje ya nchi wakati enzi za JK walimlaumu kwa safari za nje.
3. Kupinga sera ya króna ya JPM wao walitaka tufungiwe tufe kwa njaa.
4. Kupinga serikali kuhamia Dodoma wakasema JPM kakurupuka.
5. Kupinga ununuzi wa ndege wakati huko nyuma walisema hatuna ndege tumezidiwa na Rwanda. Hayo ni baadhi tu nilitaka uyafahamu.
 
Dk. Silaa ni mamluki CHADEMA msikubali kuingizwa tena mkenge. HUU NI MUDA HATARI WANAKUJA KWA NJIA MBALIMBALI KAMA HAMUAMINI MPOKEENI NA MTAONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…