Haya ndiyo mambo muhimu ya kuongolea, sheria zimevunjwa, pesa za umma kutumiaka bila utaratibu maalum. Masuala kama haya ndiyo yanayogusa moja kwa moja maslahi ya watanzania kuliko kuongelea personal issues za upadri wa Slaa ambao haunisaidii.
Haya ndiyo mambo muhimu ya kuongolea, sheria zimevunjwa, pesa za umma kutumiaka bila utaratibu maalum. Masuala kama haya ndiyo yanayogusa moja kwa moja maslahi ya watanzania kuliko kuongelea personal issues za upadri wa Slaa ambao haunisaidii.
Slaa anatapatapa... ka mfa maji vile...atakoma kuacha kugombea ubunge
Point. Tena anatapatapa mapema mno.
Slaa anatapatapa... ka mfa maji vile...atakoma kuacha kugombea ubunge
We mgonjwa wa miwaya unasikia???Kutapatapa kwa Kiingereza ni "flounder(ing)"....
Ni ukiukwaji wa wazi wa sheria. Ingekuwa nchi zilizoendelea Kikwete hata angejiuzulul
_______________________________________________
" But whoso looketh into the perfect law of liberty, and continueth therein,
he being not a forgetful hearer, but a doer of the work, this man shall be
blessed in his deed." James 1:25:
Nafikiri wewe unatatizo wala si dogo hatutafuti maana ya neno kwa kingereza tunachangia hoja ya maneno yenyewe.Kutapatapa kwa Kiingereza ni "flounder(ing)"....
Wengi wetu nafikiri hatujazielewa mbinu wanazotumia Chadema wanataka kuifanya CCM kazi yake iwe kujibu tuhuma counterattach na siyo kurusha makombora, kupeleka mashambulizi golini kwa mpinzani asipate pumzi wala upenyo wa kusogelea goli lako, ndicho Chadema inachokifanya.
Hata kama Msajili au NEC watatupilia mbali pingamizi tayari Chadema watakuwa wameacha damage kubwa kwa NEC, Msajili, CCM na JK mwenyewe, na umesikia Slaa alivyosema hata kama likitupiliwa mbali kama wengi tunavyotarajia Msajili afanye watasonga mbele hiyo tosha ni psychological torture kwa CCM ilitumiwa na CUF zanzibar kama utakumbuka.
Damage ninayoisema kwa NEC na Msajili ni kuonesha watanzania kuwa vyombo tulivyonavyo havifai ni double standard na damage kwa CCM na JK, Chadema wanataka kuonesha watanzania ni kwa kiwango gani sheria zetu zinavunjwa na mtu aliyeapa kuzilinda. Mimi nafikiri hilo ndilo lengo hasa la Chadema kwa vile najua na wao Chadema wanajua itakuwa ngumu sana pingamizi lao kupita.
Safi sana Mzungu wa JF... yule jamaa yako mwenye inglish ya Oxford yu wapi siku hiziKutapatapa kwa Kiingereza ni "flounder(ing)"....
Haaa haaa haaa.. hamna nyimbo, zaidi ya matusi! Slaa kapelekwa mkenge na akina Mbowe na Zito, na sasa anajuta!We mgonjwa wa miwaya unasikia???
Haaa haaa haaa.. hamna nyimbo, zaidi ya matusi! Slaa kapelekwa mkenge na akina Mbowe na Zito, na sasa anajuta!
Leo katika Tanzania Daima kuna habari inayomnukuu Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa akisema kuwa pingamizi la Slaa dhidi ya Kiwete ni zito.
Ninakuu sehemu husika: "Katika hatua nyingine, Msajili wa wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amesema kuwa pingamizi linalokusudiwa kuwekwa na Chadema dhidi ya mgombea urais wa CCM, Rais Kikwete ni zito, kwani linaigusa serikali inayoongozwa na Rais Kikwete moja kwa moja.
"Akizungumza na waandishi wa habari oifisini mwake jana, Tendwa alisema endapo Chadema itawasilisha pingamizi lao katika ofgsi yake, itamlazimu kukaa na wanasheria kujadili kwa kina namna ya mishahara hiyo ilivyoongezwa ili kulitolea uamuzi."
[Mwenye complete soft copy ya stori hii tunamuomba atuwekee hapa.]
My take – kwenye red:
Hapa alikuwa na maana vigogo wa CCM?