Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

chadema hawana hoja na nina imani hawataridhika na nimegundua chuki zenu ni za kidini mnamchukia jk kwa dini yake nilikipenda sana chama chenu ila ubaguzi wenu wa kidini umenifanya niwasikitikie nyie sio watu wazuri mnaweza kusababisha mauaji ya kimbari angalieni sana

hizo comments zako za udini! It says a lot about you kuliko hao unawatuhumu, mbona hata waislamu kibao hawamfagilii jk na wanamfagilia lipumba, mzee sokomoko mtu akikosa hoja na substance kama wewe unakimbilia kwenye udini! Kwa hiyo wewe una msapoti jk kwa kuwa ni muslim au yupo qualified for the job? Kila indications zimeonesha jk is unqualified to be our president kwa kushindwa ku transform our economy na kushindwa kubadilisha mfumo wa utawala na kushughulikia ufisadi hizo ndo hoja kuu za watu kumkataa jk, sasa ndugu yangu jenga hoja ya kumtetea sio kukimbilia kwenye udini, watu tulimchagua jk kwa kishindo 2005 kwasababu tulimwamini kuwa he will bring change but tulicho shuhudia ni business as usual, na hajawahi kutokea tz kuwa na weak president kama jk, mbona chadema wanamshutumu mkapa pia ni fisadi je mkapa ni mwislamu, je fisadi lowasa ni mwislamu? Na jk anawalinda mafisadi papa kwa sababu na yeye ni fisadi nyangumi! Ongea hoja sio kutuletea mambo jambo stuff!
 
Nina kerwa sana na UDINI WENU matawafukuza watu wengi sielewi kwanini mnaweka dini mbele kuliko maslahi ya nchi....

If you can't fight them join them

HIVI KIKWETE, LIPUMBA NA WENGINEO HAWANA DINI? MBONA MNAMGWAYA SANA SLAA? Au mnajua kwamba JK ni kivuli kwa Slaa? Si akubali yaishe?
 
Hii ngoma inaweza ikafika hadi Mahakama ya Rufaa . . . . Lissu na Marando na CHADEMA hawatakubali. Uchaguzi unaweza kuahirishwa na sheikh Yahya akapanua soko lake kwa utabiri uliotimia.

Tutaona mengi mwaka huu.
Tendwa anatafuta namna ya kupindisha sheria au tafsiri ya sheria kusudi kunusuru mgombea anayelalamikiwa. Lakini ujanja wa kuminya haki unakawaida ya kufikisha nchi katika mazingira magumu zaidi kuliko inavyotegemewa. Hata huko mahakama ya rufaa trend itakuwa hiyohiyo kama ilivyokuwa kwa kesi ya mgombea binafsi. Ndio maana tunahitaji tume huru ya uchaguzi, mhimili huru wa mahakama na bunge huru. Haya yote yanahitaji katiba mpya na madaraka ya rais yapunguzwe ndio tunaweza kusonga mbele na demokrasia ktk nchi yetu. Bila hivyo ni sawa na kujaza maji kwenye shimo...
Kilic
 
nina kerwa sana na udini wenu matawafukuza watu wengi sielewi kwanini mnaweka dini mbele kuliko maslahi ya nchi....

If you can't fight them join them

ccm maslahi gani ya nchi wanaweka mbele kama sio kufilisi nchi, wewe ndo mdini, ukimaliza kulia na udini utaanza kulia na ukabila kwa kuwa huna hoja za kujibu na mwisho utakimbilia kuwa umetukanwa hiyo ni typical culture ya kiafrika na walio kuathili wewe ni wazazi wako kwa maana wazazi wa kiafrika wakielezwa ukweli na watu ambao wanawazidi umri, ama watoto wao au ndugu wanakimbilia kuwa wametukwanwa ili kujilinda, mzee sokomoko u need to change! Kubali hoja au jenga hoja sio kutuletea upuuzi wako wa dini! Kila mtanzania ana dini yake, na jk alichaguliwa na watanzania wa dini mbali mbali tena wakristo wengi ndo waliompigia kura yeye kuliko waislamu waliompigia kura lipumba
 
Chadema hawana hoja na nina imani hawataridhika na nimegundua chuki zenu ni za kidini mnamchukia JK kwa dini yake nilikipenda sana chama chenu ila ubaguzi wenu wa kidini umenifanya niwasikitikie nyie sio watu wazuri mnaweza kusababisha mauaji ya kimbari ANGALIENI SANA

hizi ni bange
 
KWeli baadhi ya waTZ wana roho mbaya kushinda simba ambaye akimkamata mnyama anamla,lakini baadhi ya watz wapo sawa na kobla(nyoka) ambaye yeye anajisikia raha kutema mimate na kudonoa watu bila kula!
Yaani mijitu inakasirika wafanyakazi kuongezewa mishahara wakati wenyewe mlishasema wafanyakazi kura zao kwa padri sasa yamegeuka nini?Yaani mnakuwa vigeugeu kama kinyonga!Acheni roho mbaya kwasababu wafanyakazi wameongezewa mishahara,nanyi mkitaka kafanyeni kazi serikalini ili muongezewe hivyo vijimishahara.Wafanyakazi wanajua wa kumpa kura kama Padri,Jk,Lipumba n.k

Mr Pengo kama uko serious na hayo uliyosema basi una pengo kubwa ktk kufahamu mambo. Lakini kama hauko serious then wewe una kazi maalum ya kuvuruga fursa ya watu kupashana habari katika forum hii. Uhuru wa kutoa mawazo uliopo ktk board hii haumaanishi watu wasiofahamu mambo walaumu wenzao badala ya kuuliza ili ufahamishwe na hatimaye upate kujifunza. Ushauri wa bure..watu waliopo hapa wanaipenda nchi yao na hawakubaliani na hali ya namna nchi inavyoongozwa. Baada ya muda ukiwa hai au umekufa nchi hii itakuwa mufilisi na itakuwa ikimilikiwa na watu wengine na sio wanao au wajukuu zako kama hufahamu...labda kwa vile utakuwa umekufa hivyo huwezi kujali siyo?
 
The BUCK STOP WITH WASAIDIZI. Mzee Makamba ameshasema hilo muda sii mrefu.

Kama uraia wa Bashe ni makosa ya wasaidizi na mheshimiwa Masha ilibidi arudi mjini haraka sana kuweka mambo sawa, Bwana Mkulo naye inabidi arudi mjini haraka sana ili aje achapishe PAGE ZA MISHAHARA MIPYA ili sababu iwe, WAZIRI ALISAHAU KUJUMUISHA HIZO PAGES WAKATI WA BAJETI.

Hicho ni kilio kingine kwa wafanyakazi kwani itakuwa haijapitishwa kisheria na Bunge. Hii ni SERIKALI YA GUNDI GUNDI.

What a joke!
 
KWeli baadhi ya waTZ wana roho mbaya kushinda simba ambaye akimkamata mnyama anamla,lakini baadhi ya watz wapo sawa na kobla(nyoka) ambaye yeye anajisikia raha kutema mimate na kudonoa watu bila kula!
Yaani mijitu inakasirika wafanyakazi kuongezewa mishahara wakati wenyewe mlishasema wafanyakazi kura zao kwa padri sasa yamegeuka nini?Yaani mnakuwa vigeugeu kama kinyonga!Acheni roho mbaya kwasababu wafanyakazi wameongezewa mishahara,nanyi mkitaka kafanyeni kazi serikalini ili muongezewe hivyo vijimishahara.Wafanyakazi wanajua wa kumpa kura kama Padri,Jk,Lipumba n.k

Pengo acha kutufanya watoto wadogo sisi ni watu wazima tunaojua kutafakari mambo, unaweza kuutuambia why now? kwa nini kipindi hichi cha kampeni aongeze mishahara? si alisema serikali yake haina uwezo na hazitaki kura za wafanyakazi? sasa kwa nini aongeze mishahara kinyemela ? na kama kweli anawajari na kuwathamini wafanyakazi kwa nini awatukane na kuwatisha kipindi hapigi kampeni? hoja amekiuka taratibu na sheria za uchaguzi, and he want to change the damage alioifanya yeye mwenyewe kwa wafanyakazi, sasa hii ni siasa unatumia weakness ya mpinzani wako kumu outsmart, JK inawezekana sio mtu makini au watu wanao mshauri hawamtakii mema ndo maana kila mara anachemka, na sheria zenyewe huwa ana sign bila hata ya kuzisoma, nadhani utakumbuka Dr Slaa he called out JK baada ya ku sign hiyo sheria na kutokujua kuwa kuna vipengele vilichomekwa bila ya kujadiliwa na bunge, hiyo sheria ikabidi irudishwe tena bungeni, na ameendelea kufanya kosa tena yaani jamaa atakuwa na matatizo ya Akili au ndo ujeuri wa kutaka kufanya mambo ki holela akijua kuwa watanzania wote ni kama wewe PENGO, sio CHADEMA ndo maana ni chama makini, ambacho kimekuwa kikiwaumbua kwa kuwaonesha kuwa sisi si mbumbu wa kuburuzwa kama walivyozoea au wewe ulivyozoea. Unajua wewe Pengo ni sawa kabisa na domestic slave enzi za utumwa ambao walikuwa hawataki kujikomboa kwa kuwa walikuwa wanakula makombo ya slave master na kulala kwenye nyumba ya slave master hivyo mtumwa wa aina hiyo hata umweleze hoja za msingi kuhusu ukombozi wake ataona kama unataka kumpotezea bahati yake, lakini watumwa waliokua wanafanya kazi za shurba kiu na utashi wa kijikomboa wao na familia na jamii nzima ilikuwa kubwa sana na kutumia njia zote ili kupata ukombozi. Sasa bwana PENGO wewe huna tofauti na huyo domestic slave kwani hujui kuwa unahitaji ukombozi na uko tayali kufa kwa ajili ya kumtetea slave master wako ambae ni CCM, na hata akiwa kwenye hali ngumu basi wewe unaumia sana kwani umeridhika kula makombo, CCM imefanya nini la maana kwa watanzania kama sio kuifilisi nchi? nchi zilizokwisha endelea kama uingereza, italy, spain, german na USA kila mara zinafanya uchaguzi na kuweka madarakani vyama vya upinzani, na bado hali yao ya uchumi ni nzuri na hawana matatizo mengi kama sisi! sasa wewe hiyo roho ya kutotamani na kuthubutu kuangalia in other direction na kuipa changamoto chama kilichopo madarakani ili next time kikirejea madarakani kifanye juhudi zaidi za kuikwamua nchi yetu? hivi hizo mentality za kitumwa kwa nini haswa zinawatafuna watanzania kama nyinyi? tatizo ni nini haswa elimu? uelewa? ugonjwa wa akili? au ukosefu wa exposure? think out of the box pengo acha fikra za kitumwa
 
Source: MICHUZI


TENDWA KUTOA MAAMUZI PINGAMIZI LA CHADEMA BAADA YA SIKU TANO






Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,John Tendwa.

Na Mary Kweka –Maelezo

Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini John Tendwa amesema atatoa uamuzi wake dhidi ya malalamiko yaliyowasilishwa ofisini kwake jana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu mgombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM) baada ya siku tano.

Bwana Tendwa ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam baada ya kupokea malalamiko hayo rasmi leo.

‘’Nitatoa maamuzi hayo baada ya kupokea maelezo kutoka kwa mlalamikiwa dhidi ya mlalamikaji yaliyowasilishwa,na nitatoa nakala ya maamuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi na Katibu Mkuu wa chama cha CHADEMA’’,Alisema Tendwa.

Akifafanua suala hilo Tendwa amesema baada ya maamuzi yake mlalamikaji na mlalamikiwa kama hawataridhika na uamuzi wake wanayo haki ya kwenda kutafuta haki yao kwenye vyombo vya sheria.

Aidha Msajili huyo wa Vyama ameongeza kuwa amepokea malalamiko hayo kwa mujibu wa sheria ya gharama za uchaguzi inachomkataza mgombea yeyote ambaye yeye mwenyewe, wakala wake au Chama chake kitafanya kitendo ambacho kimekatazwa kama ilivyoelekezwa kwenye sheria hiyo atakuwa au kitakuwa kimepoteza sifa za kushiriki mchakato wa uteuzi au uchaguzi.

Pingamizi hilo liliwasilishwa jana ofisi ya msajili huyo na Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika wakimlalamikia Mgombea urais wa chama cha mapinduzi,Jakaya Mrisho Kikwete kutumia madaraka yake kutoa ahadi kwenye kampeni na kutangaza nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wakati wa kampeni.
ni bora uchaguzi ukahairishwa lakini haki ionekane imetendeka
 
Ni kweli,tunajua tendwa atalamba viatu vya akina dk feki.atafanya hivyo ili apate cheo cha kusajili vyama vya mafisadi afrika kama rafiki yake jaji mkuu aliyevuruga hapa ila akaaminiwa afrika nzima.kweli miafrika tuna upungufu wa akili
 
Watanzania si mabwege tena kama baadhi yetu wanavyofikiria. Tendwa akilikoroga hapa, yeye na walalamikiwa wajiandae kulinywa! Nina uhakika hili jambo haliwezi kumalizika kienyeji..This will be, from now on, an important lesson in Tz politics!
 
The BUCK STOP WITH WASAIDIZI. Mzee Makamba ameshasema hilo muda sii mrefu.

Kama uraia wa Bashe ni makosa ya wasaidizi na mheshimiwa Masha ilibidi arudi mjini haraka sana kuweka mambo sawa, Bwana Mkulo naye inabidi arudi mjini haraka sana ili aje achapishe PAGE ZA MISHAHARA MIPYA ili sababu iwe, WAZIRI ALISAHAU KUJUMUISHA HIZO PAGES WAKATI WA BAJETI.

NI KWELI MAKAMBA AMEKIRI MKULO ALISAHAU KUSOMA PAGE HIZO AU ? HEBU TUPE KWA UNDANI HAYO ALIYOSEMA MAKAMBA, KWA MAANA KAMA WAZIRI WA FEDHA ALISAHAU KOSOMA HIZO PAGE THAT IS ANOTHER ISSUE NA HIYO HAIMPI RAISI MAMLAKA YA KUONGEZA MISHAHARA KINYEMELA, NGOMA ITAKUWA NZITO MWAKA HUU, KAMA MAKAMBA AMEKILI THEN CHADEMA WANAPETA AU KUNA MTU ANATAARIFA ZAIDI YA HAYO ALIYOSEMA MAKAMBA? SASA MKULO ATALISOMEA HIZO PAGE BUNGE GANI WAKATI BUNGE LILIKWISHA VUNJWA SIKU NYINGI, DUH CHADEMA NI MAKINI KWELI
 
Najaribu 'kuota' jinsi itakavyokuwa kama Tendwa atam-disqualify Kikwete kwenye kinyang'anyiro cha urais! Hapo ndio mtakapomjua kwamba aliwahi kuwa Luteni Kanali (Lieutenant-Colonel)!

Du! Mkuu umenichekesha saaana. Toka asubuhi sijacheka, so walau fresh air imeingia mdomoni.

Iko hivi:

1. Tendwa Ataandika rulling yake na kupeleka NEC - 10 days (mpaka CCM wajibu)
2. NEC Watatoa rulling kuwa hakuna rushwa imetolewa na JK - 10 days
3. Chadema Wataenda Mahakama Kuu kukata rufaa - 10 days
4. Mahakama Kuu watasema hakuna hongo JK katoa - 10 days
5. Chadema wataenda Mahakama ya rufaa kukata rufaa - 10 days
6. Mahakama ya Rufaa watasema CHADEMA mnamwonea JK, hajatoa hongo, in fact anapigana kumaliza ufisadi - 10 days
7. 31st October inapita - Uchaguzi unaahirishwa; Sheikh Yahya anapata ujiko
8. Chadema watashtaki kwenye Jumuiya ya Kimataifa
9. Ngoma itaanza kubadilika dizaini ya mikwala kama aliyowekewa Bob Robert (Mugabe)
10 Ngoma inarudi kwa Wananchi
11. Wananchi wanamchagua JK huku Slaa akitoa upinzani mkali: 55% CCM; 40% CHADEMA; 5% CUF
12. Uchaguzi unaisha, kisha mtanange unahamia Bungeni: Top agenda katiba ya Zanzibar na Muungano

Haaa haaa patamu hapo.
 
Watanzania si mabwege tena kama baadhi yetu wanavyofikiria. Tendwa akilikoroga hapa, yeye na walalamikiwa wajiandae kulinywa! Nina uhakika hili jambo haliwezi kumalizika kienyeji..This will be, from now on, an important lesson in Tz politics!

haahaaa haaa mambo yasije yakawa kama ya watani wetu wa jadi
 
Haki itendeke, hakuna wa kuogopwa,hakuna cha CCM wala nini. Kikwete kafulia,Dr. Slaa 2po pamoja!!!
 
Sheria yenyewe imewekwa na CCM, iweje iwafunge? Tusubiri, ila hakuna jipya, sioni hata dalili.
system ya Tanzania ni ya ajabu sana,
ukijiuliza hawa watu wenye kushabikia CCM wanafurahia nini,
- uchafu barabarani bila mfanyakazi/kiongozi kuwajibishwa?
- ofisi zilizowazi au huduma za kubembeleza wakati mhusika huwezi kumsemea manake anajua bosi wake anavyokula?
- taasisi feki za serikali ambazo ziko kwa ajili ya wakubwa kuhemea wakikwama?
- umasikini unaozidi siku hadi siku?
- kudharauliwa waziwazi na kutukanwa kwa kuwa na maoni tofauti?
kweli ni maajabu!!!!
 
Utakerwa sana mwaka huu. Na kibaya zaidi ni kuwa John Tendwa ni MKRISTO, heheheeee. Na kwenye NEC kuna Jaji Lewis Makame.

Muislaam mwenzio atapata aisee nyingine, MDINI WEEE................

Habari ndio hiyo! Mwaka huu watajibeba!
 
Najaribu 'kuota' jinsi itakavyokuwa kama Tendwa atam-disqualify Kikwete kwenye kinyang'anyiro cha urais! Hapo ndio mtakapomjua kwamba aliwahi kuwa Luteni Kanali (Lieutenant-Colonel)!

SMU usiogope ndugu yangu,Luteni kanali kwa sasa hawezi hata kupiga kwata la shoto-kulia! Sana sana itahitajika ambulance in case of.......
 
Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September! (SOURCE LAU MASHA FACEBOOK WALL)
 
Back
Top Bottom