George Maige Nhigula Jr.
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 470
- 149
chadema hawana hoja na nina imani hawataridhika na nimegundua chuki zenu ni za kidini mnamchukia jk kwa dini yake nilikipenda sana chama chenu ila ubaguzi wenu wa kidini umenifanya niwasikitikie nyie sio watu wazuri mnaweza kusababisha mauaji ya kimbari angalieni sana
hizo comments zako za udini! It says a lot about you kuliko hao unawatuhumu, mbona hata waislamu kibao hawamfagilii jk na wanamfagilia lipumba, mzee sokomoko mtu akikosa hoja na substance kama wewe unakimbilia kwenye udini! Kwa hiyo wewe una msapoti jk kwa kuwa ni muslim au yupo qualified for the job? Kila indications zimeonesha jk is unqualified to be our president kwa kushindwa ku transform our economy na kushindwa kubadilisha mfumo wa utawala na kushughulikia ufisadi hizo ndo hoja kuu za watu kumkataa jk, sasa ndugu yangu jenga hoja ya kumtetea sio kukimbilia kwenye udini, watu tulimchagua jk kwa kishindo 2005 kwasababu tulimwamini kuwa he will bring change but tulicho shuhudia ni business as usual, na hajawahi kutokea tz kuwa na weak president kama jk, mbona chadema wanamshutumu mkapa pia ni fisadi je mkapa ni mwislamu, je fisadi lowasa ni mwislamu? Na jk anawalinda mafisadi papa kwa sababu na yeye ni fisadi nyangumi! Ongea hoja sio kutuletea mambo jambo stuff!
