Elections 2010 DR.Slaa Kuunguruma Jangwani Kesho tarehe 07/08/2010

Elections 2010 DR.Slaa Kuunguruma Jangwani Kesho tarehe 07/08/2010

Kanyafu Nkanwa;1017465]Huyu bwana Slaa. Disqualification zake:
1. kwanza alikuwa padre, akahasi. Hiyo ni dalili kubwa sana ya udhaifu. Anaweza uza nchi huyu kwa kuwa hana msimamo.
Hivi wa kuogopwa zaidi ni Aliyehasi upadre na kuingia kwenye siasa au aliyekuwa mwanajeshi akaingia kwenye siasa?Mbona haihitaji hata akili za mtoto mchanga kutambua kuwa padre au shehe anatarajiwa kuhubiri amani na upendo,ilhali soldiers.....and once a soldier always a soldier?
2. Alikuwa CCM, mpaka leo sisi tunajua tuko naye. Alipogigwa chini 1995 akahamia upinzani. Siyo mpinzani halisia. Mkewe anataka kufuata hiyo.
CCM ni chama cha siasa,sio bloodline ambayo inaweza kumwia mtu vigumu kuachana nayo.Kama JK alitishia kuhamia chadema laiti asingepitishwa 2005 kuna ubaya gani kwa Slaa kuhamia upinzani (tena si kwa kitisho)?
3. Analalamika kuhusu mishahara midogo ya waalimu, yeye hatuwahi sikia amechangia chochote kwa lolote katika maendeleo ya popote
Yawezekana huishi Tanzania ndio maana hujui hata kwanini wapigakura huko Karatu walikuwa reluctant "kumruhusu" Slaa aache ubunge na kugombea urais.
Code:
4. Sidhani kama mtu yoyote hapa JF akipata file chafu akaenda mwembeyanga kutangaza, tukamwona safi kuanzia siku hiyo. Usafi ni tabia.
Ofkoz,usafi ni tabia kama ilivyo uchafu.Lakini at least Slaa alidiriki kufanya kile ambacho JK ameshindwa kufanya kwa miaka mitano licha ya kuwa na usalama wa taifa,polisi,takukuru na vyombo vingine vya sheria vya kukabiliana na ufisadi.Mbona hamkuhoji usafi wa JK 2005?Au kwa vile mnafahamu ishu zake za mtaani?
Code:
5. Huyu ana nyumba ndogo lukuki kila sehemu, disqualification kubwa sana. Dodoma ana wanawake watano
. Wenzio CCM wameamua kuachana na mkakati huo wa kuzungumzia "uadilifu wa kifamilia" kwa vile wanamfahamu vema mgombea wao.Ushauri tu,si busara ku-entertain kurusha mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo.Yaelekea JK unayemsapoti humfahamu vema ndio maana unaleta habari za "nyumba ndogo".
Code:
6. Security-wise, baadhi ya mambo hata senators wa US hawawezi sema. He is incompetence. Tutamnyung'unyiaa hapo
Ndio nyie ambao hata mkiibiwa hamwezi kusema just because flani hawezi kusema.Nchi yako inatafunwa halafu unamtolea macho anayekutetea?Unaporwa mkeo,wanajitokeza wasamaria wema kukusaidia halafu unawawashia moto!Kama sio uchizi huo ni nini tena?
Code:
7. Alikuwa hana mpango wa Urais. Amelazimishwa. Urais siyo wa kulazimshwa. Ni plans za miaka mingi. Anaweza tuyumbisha huyu
Si bora mtu aliyekuwa ameridhika kuwatumikia wapiga kura wa jimbo lake kisha akashawishiwa na watu wa kada mbalimbali kuwa Tanzania inamuhitaji kuliko huyo JK aliyekusanya nguvu za mtandao uliojumisha kila aina ya maharamia for 10 yrs na matokeo yake ndio haya tunayoshuhudia sasa?Kwa kili yako yupi bora,mtu anayetaka urais kwa gharama yoyote hata kama ni kwa kushirikiana na majambazi au mtu aliyekuwa ameridhika na kidogo alichonacho kisha akaombwa na wenye uchungu na nchi ali awatumikie?
8. Watu alionao ni wachafu sana,, hatutegemei mtu kama yeye akawa na watu wa namna hiyo.
Temea mate chini (touch wood),hivi unawajua WANAMTANDAO wewe?Kuna japo mtu mmoja katika kambi ya Slaa unayeweza kumlinganisha na Rostam Aziz?Au Lowassa?
9.Anyway, hakuna room inaitwa "President from chadema this year".
Kwa vile inawezekana kabisa wewe si Mtanzania mwenye uchungu na nchi hii inayotafunwa na mafisadi,we wouldnt really care kuhusu utabiri wako wa kishetani.Tuachie wenye nchi tutarajie mema,na nyie wenye yenu mhangaike na ishu zenu
10. Too late to do anyrthing.
As Malecela once said,YOU CAN GO TO HELL

Mungu Ibariki Tanzania. Mungu wape hekima watu wake waweze jua wanalofikiria
Mungu akuhurumie kwani hujui utendalo.Au,ikiwezekana akupuuze tu maana hata kukusamehe atakuwa anapoteza muda wake.

By the way,between NOW and October mtajiunga wengi sana na JF kujaribu kumwaga sumu.Mnachosahau ni ukweli kwamba wengi walijaribu na hawakufanikiwa.
 
Back
Top Bottom