Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Weye unaonekana unatokea kule kwa ugonile.
Majina achana nayo. Ni mpemba halisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weye unaonekana unatokea kule kwa ugonile.
Hivi wa kuogopwa zaidi ni Aliyehasi upadre na kuingia kwenye siasa au aliyekuwa mwanajeshi akaingia kwenye siasa?Mbona haihitaji hata akili za mtoto mchanga kutambua kuwa padre au shehe anatarajiwa kuhubiri amani na upendo,ilhali soldiers.....and once a soldier always a soldier?Kanyafu Nkanwa;1017465]Huyu bwana Slaa. Disqualification zake:
1. kwanza alikuwa padre, akahasi. Hiyo ni dalili kubwa sana ya udhaifu. Anaweza uza nchi huyu kwa kuwa hana msimamo.
CCM ni chama cha siasa,sio bloodline ambayo inaweza kumwia mtu vigumu kuachana nayo.Kama JK alitishia kuhamia chadema laiti asingepitishwa 2005 kuna ubaya gani kwa Slaa kuhamia upinzani (tena si kwa kitisho)?2. Alikuwa CCM, mpaka leo sisi tunajua tuko naye. Alipogigwa chini 1995 akahamia upinzani. Siyo mpinzani halisia. Mkewe anataka kufuata hiyo.
Yawezekana huishi Tanzania ndio maana hujui hata kwanini wapigakura huko Karatu walikuwa reluctant "kumruhusu" Slaa aache ubunge na kugombea urais.3. Analalamika kuhusu mishahara midogo ya waalimu, yeye hatuwahi sikia amechangia chochote kwa lolote katika maendeleo ya popote
4. Sidhani kama mtu yoyote hapa JF akipata file chafu akaenda mwembeyanga kutangaza, tukamwona safi kuanzia siku hiyo. Usafi ni tabia.
5. Huyu ana nyumba ndogo lukuki kila sehemu, disqualification kubwa sana. Dodoma ana wanawake watano
6. Security-wise, baadhi ya mambo hata senators wa US hawawezi sema. He is incompetence. Tutamnyung'unyiaa hapo
7. Alikuwa hana mpango wa Urais. Amelazimishwa. Urais siyo wa kulazimshwa. Ni plans za miaka mingi. Anaweza tuyumbisha huyu
Temea mate chini (touch wood),hivi unawajua WANAMTANDAO wewe?Kuna japo mtu mmoja katika kambi ya Slaa unayeweza kumlinganisha na Rostam Aziz?Au Lowassa?8. Watu alionao ni wachafu sana,, hatutegemei mtu kama yeye akawa na watu wa namna hiyo.
Kwa vile inawezekana kabisa wewe si Mtanzania mwenye uchungu na nchi hii inayotafunwa na mafisadi,we wouldnt really care kuhusu utabiri wako wa kishetani.Tuachie wenye nchi tutarajie mema,na nyie wenye yenu mhangaike na ishu zenu9.Anyway, hakuna room inaitwa "President from chadema this year".
As Malecela once said,YOU CAN GO TO HELL10. Too late to do anyrthing.
Mungu akuhurumie kwani hujui utendalo.Au,ikiwezekana akupuuze tu maana hata kukusamehe atakuwa anapoteza muda wake.Mungu Ibariki Tanzania. Mungu wape hekima watu wake waweze jua wanalofikiria