Dr. Slaa: Mbowe ameambiwa asithubutu kuachia Uenyekiti, Ama sivyo atajiharibia kila kitu

Mbowe, Yeriko na Bon wote watekaji ndiyomaana wanang'ang'ania madarka ili kuficha uozo wao. Mbowe akigombea najinyonga
 
Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.

Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
Akiwa balozi, Slaa alisema hata Ulaya hamna shughuli za kisiasa baada ya uchaguzi.

Amandla...
 
Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.

Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
Kwani Chama ni CHAMDEMA tu, whay Lisu hio Movement asiifanyie ACT au CHAUMA au TLP? wajinga nyie
 
Slaa hahitaji kuaminiwa. Na watu wasipomuamini hampunguzii kitu. Watu hawamuamini Mungu na Mungu bado yupo. Mtu yeyote anayemuamini mtu mwingine hana akili.
Unaamini kitu ambacho haujawahi kukiona na hata waliokufundisha kuhusu huko kuamini nao wamehadithiwa tu au kusoma kwenye printed materials. Upuuzi mtupu.
 
Suala la kuamini ni uchaguzi wa mtu. Wewe unaamini kuna upepo?
 
Mbowe ana uchungu sana amefilisiwa mali zake kwa ajili ya kuwa CHADEMA kila mtu anajua !Sasa huwezi kumuondoa tu kwenye kuongoza chama eti kwa sababu we unataka !
Mwl. Nyerere alishawahi kusema he could not leave his party to the dogs !
Kwahiyo akiwa mwenyekiti ndio hizo mali alizofilisiwa zitarudi?! Kwanini aitoe nafasi kwa wengine na wao wafilisiwe kama alivyofilisiwa?!
Au njia pekee ya kurudisha mali zake ni kuendelea kuwa mwenyekiti?!
 
Acha kuwa zwazwa
Mbowe ana uchungu sana amefilisiwa mali zake kwa ajili ya kuwa CHADEMA kila mtu anajua !Sasa huwezi kumuondoa tu kwenye kuongoza chama eti kwa sababu we unataka !
Mwl. Nyerere alishawahi kusema he could not leave his party to the dogs !
 
M
Kama hii kauli ni ya kweli, hili lirakuwa ni tangazo kwa umma kuwa Mbowe ni mtu wa Serikali na yupo CHADEMA kulinda maslahi ya Serikali.

Itabidi alipe damu za watu waliopotea maisha wakiamini wanapigania haki kumbe kiongozi wao ndiye anayewauza kwa mashetani wanaoteka na kuua watu.
sisahau Bado anafile lake la ugaidi mahakamani
 
Watu waongo waongo tu humu.
Then huyo Lissu mna-muover-rate sana. Lissu kaishakuwa mbunge miaka ya kutosha, kuna kitu kitu cha zaidi walichonacho huko Singida?? Kawa mwenyekiti TLS - kuna miujiza ilifanyika huko??
Lissu ni mtu tu kama wengine, sio hata threat jinsi anavyoelezwa na kupambwa...hata akipewa uenyekiti leo - msitegemee kutakuwa na mabadiliko yakutisha.
 
Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.

Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
Huyu Mzee atakuf... lini.
 
Back
Top Bottom