Dr. Slaa: Mbowe ameambiwa asithubutu kuachia Uenyekiti, Ama sivyo atajiharibia kila kitu

Endelea kumdanganya huyo mzee wenu Mbowe muone jinsi chadema inavyoteketea.
 
Huyo Mzee nae haaminiki tena, achana nae
 
Huyu mchaga Mbowe yuko after money na wala siyo mabadiliko
 
Huu ni ukweli mtupu.
Ametangaza nia kwa unyonge sana, roho inamsuta.
Huyu mbwe..ha amechagua maslahi binafsi na sio nchi wala waliomwamini.
 
Mzee Mihogo Ni
MCHOCHEZI
 
Sisi tunaamini alichosema Mbowe sio huyo Slaa aliyefilisika., kukataliwa CCM , kukataliwa kurudi CHADEMA .

Mbowe hakunyenyekea wakati wa Magufuli ambapo Slaa alinyenyekea itskuwa sasa!
 
wakubwa ni wepi hao na yeye ndo top kwenye chama?
 

Mmmmhhhhh mbona biashara yake yote ya maana iko Kenya na Dubai hadi ninapoandika hii habari
 
Kwahiyo mfalme Mbowe pamoja na kuwa mbunge miaka mingi na mwenyekiti miongo miwili jimbo kwake Hai kafanya nini?
 
Sasa kama anatumia uwenyekiti wake kama kinga ya biashara zake hatufai sisi watz
 
Mbowe ana uchungu sana amefilisiwa mali zake kwa ajili ya kuwa CHADEMA kila mtu anajua !Sasa huwezi kumuondoa tu kwenye kuongoza chama eti kwa sababu we unataka !
Mwl. Nyerere alishawahi kusema he could not leave his party to the dogs !
Acheni kuwaaminisha watu anastahili kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa sababu alidhulumiwa mali zake. Ni ujinga na upuuzi Kuamini haya.

Wale waliodhulumiwa Uhai wao je? Ukiwa na majibu ya haya basi rudi Usome ulichoandika.

Ujinga huu ndio Lissu anaupinga.
Tuna safari ndefu sana kama nchi.
Maandiko yanasema ‘ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…