nice move
kinachofuata ni watu kutafuta waangalizi wa kimataifa si kudubiri Chadema wafanye hivyo si mnajua jamaaa wezi wa kura kinoma zingine wanaziweka kwenye masanduku kabla ya ku cast .Intenational media pia ziwepo ,ikiwezekana balozi ziombwe kusaidia kufanikisha hili.